Hivi chanzo cha usaliti katika mapenzi ni nini?

Hivi chanzo cha usaliti katika mapenzi ni nini?

Joined
Dec 7, 2017
Posts
41
Reaction score
27
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara sababu kubwa inayopelekea mtu kumsaliti mpenziwe ni nini haswa. Ni tamaa ya fedha, mambo ya kuiga mashoga na marafiki au ni hulka?

Unaweza kujitahidi ukampatia kila kitu mpenzi wako nikiwa namaanisha mahitaji ya muhimu sambamba na mapenzi yenye ujuzi kila unapokutana nae lakini stili atakusaliti tu, hili wimbi lipo kwa wanawake na wanaume pia.

Uaminifu umekuwa mdogo sana siku hizi, tatizo haswa ni nini? Mbona kizazi hiki kinakwenda ndivyo sivyo? Naombeni tujadili ni nini sababu kubwa inayopelekea hali hii kutokea kwa kiasi kikubwa?
 
kibamia.jpg
 
Kushindwa kufanya kile anachofanya mwenzako huo ndiyo mwanzo wa usaliti. Kwa mfano ikitokea umejenga tabia ya kumnunulia zawadi mpenzi wako kila baada ya wiki haijalishi ni zawadi gani. Inapotokea yeye akishindwa kukununulia wewe zawadi hata ya pipi kijiti, hapo lazima ujiskie vibaya na utaona mapenzi yameegemea upande mmoja hapo lazima utafute kichaka cha kuitafuta furaha ambayo ulitegemea kuipata kutoka kwake, huo ndiyo mwanzo wa usaliti.
 
mutatafuta uchawi lakin tatzo no kuwa njia yenyewe tunayopita inamchukiza mungu kwa maana shetan ndo mmilik was njia hyo hvyo hawez kushndwa kukushawish kuna na MTU mungne hats kama kila kitu unakipata kutoka kwa MTU wko in short Oman haipo ya kumuogopa mungu kutokana na uchafu huo so tupo kufanya fujo tu
 
Back
Top Bottom