nyaggad
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,160
- 694
habari wakuu!
kutokana na changamoto za mahusiano ya mapenzi siku hizi,nimedhamiria kuoa kwa mkataba,natafuta mwanamke ambae yuko tayari kuolewa kwa mkataba,tunaenda kufunga ndoa Mahakamani nakusaini mkataba wa mwanzoni ambao ni mwaka mmoja tukiona mapenzi yetu yameshamiri na kustawi vizuri tuna renew contract kwa mwaka wa pili utaratibu ndio utakuwa hivyo miaka yote na kama ikitokea mmoja wetu hajaridhishwa na mwenendo wetu wa mahusiano yetu kwa mda flani na hayuko tayari kurenew mkataba basi tutaachana kiroho safi endapo itakuwa tumefanikiwa kupata mtoto kipindi tulicho ishi wote tutatengeneza utaritibu wa kumlea mtoto vizuri bila kumuathiri kisaikolojia kutokana na kuachana kwetu,mimi na amini "Mapenzi yanazaliwa na Mapenzi yanakufa" na mapenzi ni kupendana sio kuvumiliana,tukishindwana kwa tofauti ya mitazamo juu ya mwelekeo wa maisha yetu basi kila mtu inabidi achukue ustarabu wake na kuanza maisha mapya yatakayo mfaa kulingana na imani ya mtazamo wake!,Maisha ni mafupi kwa nini kuishi na msongo wa mawazo na hudhuni moyoni kwa sababu ya mahusiano?,Dawa ya yote hayo ni ndoa ya mkataba tu!,kama kuna mwanamke yuko yuko tayari kuolewa ndoa ya mkataba na ana umri kuanzia 21-30 namkaribisha Pm.
Karibuni!