Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri, umri kuanzia miaka 30, Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha. Awe mkristo, ila asiwe mlokole, Awe na upendo wa kweli...
19 Reactions
355 Replies
26K Views
Wakuu Tumshukuru Mungu kwa kuuona Mwaka 2018 Tukiwa Wazima japo kwangu Mimi nimeuanza Mwaka huu kwa Masikitiko na Majonzi Makubwa sana Baada ya aliekuwa Dem wangu "Jembe..A.K.A TOM BOY.. wangu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna huyu jamaa ni mpenzi wangu wa kwanza nilimpenda kuliko nilivokuwa najipenda mwenyewe ,najilaumu sana kwa hili nilikuwa bonge la fala ila ndo maisha alikuwa kila kitu kwangu yaani baada ya...
10 Reactions
122 Replies
12K Views
Wakuu, Naandika now ni saa 0013, nina binti m1, tupo ki friends with benefits mda mrefu, now ni kama mwaka hivi yaani huyu mtoto ni mzuri sana, ana vigezo vyote, ana tako hatari, ziwa nzuri...
1 Reactions
66 Replies
10K Views
Sabahalkheri mabibi na mabwana wa JF MMU. Kwa mlio Dar natumai mmeamka salama salimini na hamkudhurika na ile mvua ya ghafla iliyonyesha jana usiku. Kwa ambao umeme ulikatika natumai uliweza...
1 Reactions
101 Replies
9K Views
Wana JF habari za asubuhi, Watanzania kwa sasa tukubali kuwa tatizo la kukuwa kwa harakati za malesbo na mashoga ni janga kubwa sana huku kwetu kuliko tunavyofikiria. Wakati nasafiri kutoka...
9 Reactions
58 Replies
7K Views
Always yeye yupo right Mkipanga kuonana akichelewa yeye kufika ni sawa ukichelewa wewe ananuna Anakuudhi yeye na bado ananuna yeye Anachokitaka ndio kifanyike/ usipofata ushauri wake ni kwamba...
12 Reactions
85 Replies
18K Views
POLENI SANA NA MAJUKUMU. "HAPA KAZI TU" Twende kwenye mada; ni hi,wanadamu tumebuni mambo mengi tena mingine ni yenye kuleta athari katika maisha yetu .Kwa habari ya sex -Leo nime download mnyama...
4 Reactions
62 Replies
14K Views
Happy New Year Members! Let starts with This! Una Mwanamke/Mwanaume ambae Labda kweli una Mpango wa kumuoa/kuolewa nae kwa Takriban Baada ya Miaka 5 au 6. Je kwa Hio interval ya Muda kuna Haja...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Hongereni kwa kukaribia kufunga mwaka na kuukaribisha mwingine mpya. Mwenzenu namaliza 2017 nikiwa na changamoto hii: Takriban mwaka sasa, Nilifahamiana na mdada mmoja kupitia Mawasiliano ya...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Salam za asubuhi wakuu. Kwanza let me declare my interest kuwa simchukii baba yangu. Bila kupoteza muda leo nimeona nilitoe tatizo langu hili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi ni...
10 Reactions
105 Replies
7K Views
Habari zenu wana jf wakuu Mungu ni mwema naimani wapo walio niunga mkono,wengine kunidharau na kunibedha wengine kunitumia na kunitelekeza naimani yote mapito. Imani yangu ilikua ntapata mume tu...
8 Reactions
110 Replies
13K Views
MOJA ya hulka ya mwanadamu ni kutopenda amani na utulivu uliovuka mipaka. Hulka hii mwanadamu huianza tokea akiwa mtoto ndiyo maana unaweza kuona mtoto anahangaika mgongoni huku akiwa yuko kwenye...
5 Reactions
40 Replies
8K Views
Watafiti wa Masuala ya Mapenzi na Mahusiano huko Ulaya na Marekani wamegundua ya kwamba Wanawake wengi hupenda na hufurahia Tendo la Ngono ( Kubaiolojiwa ) kutoka kwa Mwanaume ambaye anauwezo wa...
18 Reactions
372 Replies
36K Views
Habari za mahangaiko wanajamvi. Nimeona niilete hii article labda inaweza kutoa jibu la swali ambalo limekuwa likitawala threads nyingi hapa jukwaani. Kwa kifupi kumekuwa na mijadala ya...
2 Reactions
26 Replies
13K Views
Hivi nyie wadada wa Jf inakuwaje inakuta mtu hapa analalamika ooh sijui natafuta mme,mwingine mchumba ,mwingine mashine halafu PM hamjibu? Au kuna watu wanawajaribu watu wao humu wanajifanya...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Waheshimiwa nawasalimu, Nilisafiri kwenda kijijini kwetu kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka, nilienda na familia yangu, yaani mke na watoto wangu, huwa ninafanya hivyo kila mwaka Ingawa sitoki...
14 Reactions
186 Replies
18K Views
Katika pita pita ya kuchunguza mambo fulani nilibahatika kupita katika makanisa mawili ya maombezi ambapo niliweza sikia vilio vingi vinavyofanana. vilio vya E E E MUNGU NIJALIE MUMEO,MUNGU...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Kumekuwa na utaratibu wa wanawake wanapokuwa katika migogoro na waume zao kuwalisha maneno watoto ili wamchukie baba yao matokeo yake watoto wanakuwa kiburi wanafuata maneno ya mama yao. Wanakuwa...
6 Reactions
71 Replies
8K Views
Wana jamiiforum heri ya Mwaka mpya Naomba kutolewa tongotongo kidogo,hivi nikitaka kumvika my dearing pete ya uchumba ni lazima nifanye kijisherehe kidogo nialike na watu wachache kuja kushuhudia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom