Ulishawahi kuwa katika uhusiano na mwanaume mwenye Gubu

Tamama

JF-Expert Member
Mar 15, 2016
887
1,098
Always yeye yupo right

Mkipanga kuonana akichelewa yeye kufika ni sawa ukichelewa wewe ananuna

Anakuudhi yeye na bado ananuna yeye

Anachokitaka ndio kifanyike/ usipofata ushauri wake ni kwamba una dharau

kukasirika katikati ya maongezi ya furaha ni jambo la kawaida ( utani afanye yeye sio wewe)

Anapenda kutoa kasoro

Yan unaeza shika simu umpigie muonane ukaishia kuirudisha mfukoni mana unawaza anaweza akuharibie siku shida yote ya nini
 
Yote usiombee uwe na mwanamke mwenye gubu.
 
Duh Kama nakuelewa hivi
 
MIMI NINA NUSU GUBU
SIO GUBU KAMILI,

VIPI KUNA TATIZO?
 
Aiseeee humfikii shem wako,sema nini mempendea hilo gubu nahis mana 5yrs n he gives mi nothing zaidi ya upendo na hilo gubu.
Nikisema nielezee vitimbwi ctomaliza leo

Mezoea na navumilia no one is perfect
 
Always yeye yupo right

Mkipanga kuonana akichelewa yeye kufika ni sawa ukichelewa wewe ananuna

Anakuudhi yeye na bado ananuna yeye

Anachokitaka ndio kifanyike/ usipofata ushauri wake ni kwamba una dharau

kukasirika katikati ya maongezi ya furaha ni jambo la kawaida ( utani afanye yeye sio wewe)

Anapenda kutoa kasoro

Yan unaeza shika simu umpigie muonane ukaishia kuirudisha mfukoni mana unawaza anaweza akuharibie siku shida yote ya nini
Nimewahi kuwa na mwanamke wa aina hiyo. Damn nilijuta. Ilifika mahali nikawa sijui nino chakufanya ili afurahi, ukimtania kosa, ukifanya lile kosa,akifanya yeye powa. Aisee niliutua mzigo maana nilimshondwa kabisa.

kwa ujumla watu wa aina hiyo kiwa nao kwenye mahusiano ni balaa tupu. Yaa shidah bin matatizo. Amani ya moyo ni muhimu kiliko kuwa na mtu ambae anakufanya uishi kwa presha kila saa.
 
Always yeye yupo right

Mkipanga kuonana akichelewa yeye kufika ni sawa ukichelewa wewe ananuna

Anakuudhi yeye na bado ananuna yeye

Anachokitaka ndio kifanyike/ usipofata ushauri wake ni kwamba una dharau

kukasirika katikati ya maongezi ya furaha ni jambo la kawaida ( utani afanye yeye sio wewe)

Anapenda kutoa kasoro

Yan unaeza shika simu umpigie muonane ukaishia kuirudisha mfukoni mana unawaza anaweza akuharibie siku shida yote ya nini

Muache huyo hujui thamani wala uchungu wa mapenzi. Please njoo kwangu tuyajenge.
 
Back
Top Bottom