Hivi huwa mnatest mitambo au?

Hivi huwa mnatest mitambo au?

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Hivi nyie wadada wa Jf inakuwaje inakuta mtu hapa analalamika ooh sijui natafuta mme,mwingine mchumba ,mwingine mashine halafu PM hamjibu?

Au kuna watu wanawajaribu watu wao humu wanajifanya wanatafuta vitu tajwa..[emoji15]

Acheni kujaribu wanaume,kumbuka hatujaribiwagi (in uncommanded commander's tone).

Halafu nyie mnawaharibia wanaotafuta masuala ya msingi kweli...

Badilikeni!!
 
Hahahaa balaa hili asee etii natafuta mchumba ndo maana siamini mwanamke akisema hivyo
 
Ukiona hajajibu hajavutiwa na wewe wapo anaowajibu. Hamjui tu ila hata mnavyoandika humu huwa inampa ushawishi mtu wa kukujibu pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom