Kutongozwa na mpenzi ambaye mmeshaachana (ex)

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,885
Kuna huyu jamaa ni mpenzi wangu wa kwanza nilimpenda kuliko nilivokuwa najipenda mwenyewe ,najilaumu sana kwa hili nilikuwa bonge la fala ila ndo maisha alikuwa kila kitu kwangu yaani baada ya miaka kadhaa ya kutosha akaniacha bila sababu akaoa zake

Huwa ananiambia eti ananipenda sana .anaomba hata anizalishe bora nizae na mbuzi aisee kuliko kuwa na damu yake hajui kama namchukia kiasi gani anadhani mimi ni yule demu fala alienichezea kipindi kile nataka nimpige bonge la tukio hatolisahau maishani msiniulize ni tukio gani ila mtasikia kwenye vyombo vya habari japo kuna roho inaniambia miss wachana na huyo fala kiroho safi .

Naombeni ushauri wenu jamani maana ananisumbua sana mimi hata chembe ya akili yangu haipo kwake namuona kama kiporo cha kinyesi kilichonyeshewa na mvua hata tukibakia wawili hapa duniani siezi kuwa nae tena najua mpenzi wangu wa jf unasoma hapa jua nakupenda sana si unajua eeeh hii ni post yangu ya mwisho usijeniacha bure baby wangu love u sana my.
 
kuna huyu jamaa ni mpenzi wangu wa kwanza .nilimpenda kuliko nilivokuwa najipenda mwenyewe ,najilaumu sana kwa hili nilikuwa bonge la fala. ila ndo maisha.alikuwa kila kitu kwangu yaani . baada ya miaka kadhaa ya kutosha akaniacha bila sababu akaoa zake .
huwa ananiambia eti ananipenda sana .anaomba hata anizalishe .bora nizae na mbuzi aisee kuliko kuwa na damu yake. hajui kama namchukia kiasi gani. anadhani mimi ni yule demu fala alienichezea kipindi kile. nataka nimpige bonge la tukio hatolisahau maishani . msiniulize ni tukio gani ila mtasikia kwenye vyombo vya habari.japo kuna roho inaniambia miss wachana na huyo fala kiroho safi .
naombeni ushauri wenu jamani maana ananisumbua sana.mimi hata chembe ya akili yangu haipo kwake .namuona kama kiporo cha kinyesi kilichonyeshewa na mvua .
najua mpenzi wangu wa jf unasoma hapa .jua nakupenda sana si unajua eeeh. hii ni post yangu ya mwisho .usijeniacha bure baby wangu. love u sana my
Bila chembe ya shaka we we bado hauko Sawa na hiyo x-wako.Kwanini umfanyie kitu kibaya kama umemsamehe?Na pia hivi kipindi chote alikufanyia ubaya tu ?huenda alijitoa sana kwa ajili yako kwa vitu Fulani nyakati Fulani.All in all forgive and move on.
 
Kama mtu humpendi na huhitaji kuwa naye kwanini usimchane ukweli?!!! Hakuna haja ya kumuita mwenzio fala mbele ya kadamnasi
 
Bila chembe ya shaka we we bado hauko Sawa na hiyo x-wako.Kwanini umfanyie kitu kibaya kama umemsamehe?Na pia hivi kipindi chote alikufanyia ubaya tu ?huenda alijitoa sana kwa ajili yako kwa vitu Fulani nyakati Fulani.All in all forgive and move on.
mimi nipo sawa naona anaendelea kunifatafata mkuu
 
Duuuuh wanawake wa kulipa kisasi ni zaidi hata ya shetani mwenyew anavyowatumikisha kulipa kisasi
 
Kuna huyu jamaa ni mpenzi wangu wa kwanza nilimpenda kuliko nilivokuwa najipenda mwenyewe ,najilaumu sana kwa hili nilikuwa bonge la fala ila ndo maisha alikuwa kila kitu kwangu yaani baada ya miaka kadhaa ya kutosha akaniacha bila sababu akaoa zake

Huwa ananiambia eti ananipenda sana .anaomba hata anizalishe bora nizae na mbuzi aisee kuliko kuwa na damu yake hajui kama namchukia kiasi gani anadhani mimi ni yule demu fala alienichezea kipindi kile nataka nimpige bonge la tukio hatolisahau maishani msiniulize ni tukio gani ila mtasikia kwenye vyombo vya habari japo kuna roho inaniambia miss wachana na huyo fala kiroho safi .

Naombeni ushauri wenu jamani maana ananisumbua sana mimi hata chembe ya akili yangu haipo kwake namuona kama kiporo cha kinyesi kilichonyeshewa na mvua hata tukibakia wawili hapa duniani siezi kuwa nae tena najua mpenzi wangu wa jf unasoma hapa jua nakupenda sana si unajua eeeh hii ni post yangu ya mwisho usijeniacha bure baby wangu love u sana my.
mwisho wa kupakua wali kwenye sufulia unakuta ukoko
 
huna lolote zaidi ya kutamani siku x wako akurudie na haiji kutokea endelea kujifariji na kuwaza ipo siku atarudi na ntamfanyie bonge la tukio.

we kubaliana na ukweli amesha enda na hatorudi tena
 
Back
Top Bottom