thank u muchAsante Ndugu Stay Blessed in This New Year
Aahh sawa Mkuu , sio dhambi nivizuri tu ,safar yamiaka 5 nindefu ,,inahitajika Akili na moyo ,msiidhie tu kwenye Pete.Nop Ni Mtu nipo Nae Nchi Moja na tunatokea kijiji Kimoja.
hamna kabisaHappy New Year Members!
Let starts with This!
Una Mwanamke/Mwanaume ambae Labda kweli una Mpango wa kumuoa/kuolewa nae kwa Takriban Baada ya Miaka 5 au 6.
Je kwa Hio interval ya Muda kuna Haja ya Kuvishana Pete ya Uchumba?
Stay Blessed!
Hahahahaaa eti Ticket
njoo huku usome mwisho wa matatizo ya fumanizi Story: Fumanizi la ukubwani5/6 yrs?lkn poa mvalishe pete tu mkuu, hiyo ni tiketi ya kupata mbunye vila vikwazo...
Njoo na hukuuu bonyeza hii link usome kuanzia juu mpaka chiniiii Story: Money Penny ni nani lakini?!Hahahahaaa eti Ticket
Tunakuja mamaNjoo na hukuuu bonyeza hii link usome kuanzia juu mpaka chiniiii Story: Money Penny ni nani lakini?!
KaribuTunakuja mama