Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

bobby dolat

Senior Member
May 18, 2015
167
263
Waheshimiwa nawasalimu,

Nilisafiri kwenda kijijini kwetu kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka, nilienda na familia yangu, yaani mke na watoto wangu, huwa ninafanya hivyo kila mwaka Ingawa sitoki Uchagani, huwa naamini kuwa baada ya kutoka kule mambo yangu kazini uniendea vizuri kutokana na baraka za wazazi.

Hata hivyo safari hii mambo yamekua tofauti kutokana na msala ulionikuta huko kijijini.

Ni hivi, kuna mtoto wa shangazi yangu nilimkuta huko nae alikua amekuja kusalimia alitutangulia alifika December 14, ni mzuri ajabu na ameumbika sana.

Pamoja na kuwa nilienda na mke wangu niliazimia nimpate nimalizane nae kule kule, hata hivyo sikupata mazingira rafiki ya kuongea nae kwa kua wife aliniganda kila sehemu, nikiwa huru yule binti nae anakua ametoka kwenda na wanawake wenzie sehemu zingine kuhani misiba iliyojitokeza siku au miaka ya nyuma na wanarudi usiku.

Hivyo nikaamua kufanya hilo zoezi usiku, kuna ndugu yangu mwingine wa ukoo bila kujua kuwa ni bangi zinamsumbua akanijaza upepo kuwa yule mtoto ni maharage ya Mbeya, ya kwamba ukiandaa kumi yako tu haruki, na kwamba tangu msichana kafika hapo masela kibao tu wamelamba, nikaingia kingi.

Ilikua tarehe 27 usiku, tulikua tumebaki watu wachache nje tunakunywa pombe na baba akiwemo, nikamuona yule binti anaenda na ndoo ya maji uelekeo wa bafuni, kama mjuavyo kule kijijini uani kunakua mbali na manyumba, nikaendako huko na mimi, bila watu kujua nilichukua root nyingine, nikakuta alishaanza kuoga, nikamuita kwa sauti ya chini akaitika na kuniuliza wewe ni nani? Na huoni kuna mtu bafuni?

Nikatoa elfu kumi mfukoni na kuanza kumbembeleza kuwa aniruhusu niingie bafuni huku nikipenyeza ile tena kupitia kwenye gunia lililofungwa hapo mlangoni, nikamwomba aniachie hata bao moja tu.

Kinyume na matarajio yangu, akaniuliza umechanganyikiwa akili au nini!? Akanifukuza ondoka haraka kabla sijapiga kelele, utakua umechanganyikiwa sio bure.

Sasa na mimi sijui ni shetani au nini, nikadhani huenda ana play ile hard to get, nikaingiwa na munkari flani nikasukuma gunia lile pembeni na kuzama ndani na kuanza kumlilia hali nikijaribu kumkumbatia ambapo alipiga mwano mkali na kuanza kupiga mayowe, nikatoka mimi bafuni kama niliechanganyikiwa vile badala ya kukimbilia ile root niliyokuja nayo nikaingia kwenye shamba la mahindi lililo nyuma ya choo.

Baba na watu wengine wakaja pale na kumuhoji, akanitaja kuwa nilimvamia bafuni na kwamba nikaingia kwenye mahindi humo, wakamulika tochi wakaniona wakanifuata pale, baba alipigwa na butwaa, akawaambia mfungeni kamba haraka, ghafla nikambadilikia yule binti mbele ya watu, nikawaka kabisa, nikasema mimi nilikua naenda kujisaidia bila kujua kama kuna mtu nikasukuma gunia na kuingia kumbe kuna mtu ndipo akaanza kupiga kelele, nikaogopa nikaingia shambani.

Alipoulizwa na baba mkubwa eti ilikua hivyo akajibu ndio ilikua hivyo likawa limeisha, wazee wakasema siku nyingine ukifika uani unagonga hodi ya mdomo kuuliza sio unazama tu kama kilabuni, huku wengine wakisema huyo itakua ni pombe hizo kanywa nyingi sana tangu jioni, likawa limeisha hilo.

Hata hivyo nikabaki na aibu kubwa rohoni, maana kesho asubuhi kila mtu anaeleza lake, mke wangu hakuniongelesha kabisa, ikanibidi niwe mkali nikamwambia amini unavyotaka na tarehe 29 tunaondoka na sio 4 tena, hadi sasa tupo Dar lakini ana hali ile ile, nahisi ni maneno ya watu aliyosikia kwa wanawake, nahisi yule binti alieleza version tofauti kule kwa akina mama.

Wadau sijui nisemeje aisee!

Nitalipiza kwa namna yangu, kulikua na sababu gani ya kuniitia watu?
 
Du mkuu umesema umeoa na una watoto? Na unasema huyo binti ulimtolea mate ni mtoto wa shangazi yako, yaani Dada yako?? Huyo ni pepo tu katubu kwa mke na mungu wako ili wewe na familia yako ipate kupona.

ulishapigaga cha arusha siku za nyuma? nasikia kinakaaga miaka kumi na tano kichwani. badala ya kufikiria kisasi ni vyema ukaelekeza nguvu zako kurudisha uhusiano na mkeo. Mbaya zaidi hujui ana version gani ya mkanda mzima ukithubutu kuomba radhi ndo umejimaliza. hawaombwagi radhi hawa viumbe.
 
ulishapigaga cha arusha siku za nyuma? nasikia kinakaaga miaka kumi na tano kichwani. badala ya kufikiria kisasi ni vyema ukaelekeza nguvu zako kurudisha uhusiano na mkeo. Mbaya zaidi hujui ana version gani ya mkanda mzima ukithubutu kuomba radhi ndo umejimaliza. hawaombwagi radhi hawa viumbe.
Huu Ujumbe ni wa nani mkuu?
 
He would Exclaim "Ah" looking at Himself

(People are inclined to shut their eyes to their own sins and Vices while blaming Others for their Carelessness and lack of Skills).

Mbafu sanaa !!
 
Back
Top Bottom