Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku...
JE UNAYAFAHAMU MAMBO HAYA?
Haya madudu wanayofanyiwa baadhi ya wanaume na akina mama yapo kwa kila kabila, utafiti umebaini kuwa ni moja ya taaluma ya Kibantu katika kuongeza au kuthibiti chachu...
Hellow, najitokeza Kwa Mara ya kwanza kutafuta mke wa Kuoa.Kwajina naitwa Johnson mwenye Umri wa miaka 35,dini yangu ni mkristu (RC), rangi na muonekano wangu ni mweusi, urefu na unene niwa...
Asilimia kubwa sana ya wanaume na wanawake(sina uhakika sana labda wao watathibitisha) wamepitia na wengine wanaendelea na haka kamchezo cha kujichua maarufu kama kupiga punyeto.
Kwa kweli...
Wakuu,kuna tambi moja hatar sana naona linaninyemelea kwa mara ya pili,ni lili overcome miaka miwil iliyopita ila naona linarud kwa kasi,na minyama uzembe flan hiv.mi ni 6ft tall,sasa haka katambi...
Tukio hili limetokea nchini Zambia baada ya Mwanamama ambaye Mfanyabiashara Mwenye umri wa miaka 54 anayejulikana kwa Jina la Maggie, alimshushia kichapo kizito mpenzi wake mwenye miaka 26 baada...
Habari za usiku huu wana JF....
Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja.
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tuelekezane namna ya kumwambia Mwenza wako eidha wa kike...
Kadri siku zinavyozidi tu kwenda mbele Kiwango cha Wivu baina ya ama Wapendanao walio pamoja au hata wale waliokuwa Wapenzi na wakaachana ndiyo kinaongezeka tena kwa Kasi sana hadi kusababisha...
Fikiri, Tafakari na Chambua kwa makini kisha nipe jibu, Wewe ulikua na mahusiano na msichana anaesoma na akapata mimba, Kisha Ukashtakiwa na Ukafungwa miaka 30, Ukatumikia na Kumaliza kifungo...
Nimeshtushwa sana na jambo hili ambalo sijafahamu kwa nini limezidi kushika kasi katika maofisi leo nimeona live kabisa dada mmoja tumekaa naye sehemu tunasubiri huduma yupo mbele yangu akajisahau...
Watu bwana!! Wanajifanya wana huruma sana kwa wanaosaka kazi hivi sasa. Eti ooh! Usikubali kutoa rushwa ya ngono ili upate kazi. Lakini wao wanagawa ngono kwa mabosi zao ili wapandishwe vyeo. Hii...
Vijana wengi wamejikita kuongelea "maungo" mafupi ya kiume (waitavyo kibamia) lakini je tushawahi jiuliza wastani wa "maungo" ya kike na kiume ni yapi? Kwa wanaume ni inchi 4-5 na wanawake ni...
Binafsi naomba nimpongeze Zamaradi na nimtake awe na Subira huku akizidisha ibada,huu ni upepo tu na haya yote yatapita na kusahaulika. Naamini Zama alimpenda huyu mtu ajayeitwa Boss wa...
WAKUU naona watu huwa wana mwagiwa maji kweny siku zao ZA KUZALIWA ingawa sio kila mtu ila ..ninge penda kujua nini haswa Lengo la
KUMWAGIWA maji katika siku yako ku zaliwa
Habari wana JF?
Tunaunza mwaka vizuri lakini upande wa wanaume naona mmekuja na staili mpya ya kudanga kwa ajili ya kupata kitonga cha maisha.
Hii tabia ya mwanaume kuvizia wamama na wadada...
Hello wana wanabody habari za jioni
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Leo nilikuwa n.a. safari kwenda shule fulani maeneo ya mtoni mtongani (kwaazizially) kwa...
Bwana Yesu asifiwe,
Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga kiunoni wakiamini zinawavutia wanaume wengi katika mapenzi. Napenda kutoa tahadhali kwa wanaopenda kuzivaa hasa kiunoni kuwa asilimia 80%...
Ukipatwa na mafua mimi napataga homa kabisa.
Inakuwepo vita ya ndani kwa ndani.
Huku tahanani kule taharuki utadhani umewavuruga nyuki.
Hapo kitulizo ni mchumbururu wa kuokwa. Chuchunge...
Heri ya mwaka mpya waungwana..
Wakuu naomba kuuliza hivi unapomwambia mumeo/mpenzi wako unataka mrudie tena kufanya mapenzi baada ya round labda ya pili au ya tatu ni Uhuni au ni kosa?
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.