Watoto kumsikiliza zaidi mama yao kuliko baba ni machungu

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Kumekuwa na utaratibu wa wanawake wanapokuwa katika migogoro na waume zao kuwalisha maneno watoto ili wamchukie baba yao matokeo yake watoto wanakuwa kiburi wanafuata maneno ya mama yao.

Wanakuwa jeuri shule hawaendi kwakuwa mama anawapenda sana wapo tayari kusema uongo kumlinda mama yao.

Wazazi tuwe makini katika hili kuwapaka mavi wanaume wenu huku mkijificha kwenye migongo ya watoto.
 
Ni kweli kabisa na ukichunguza kwa umakini jambo hili linashika kasi sana katika familia nyingi, na kama hujaambiwa na wanafamilia huwezi gundua.

Tatizo kubwa naona ni sisi kina mama tunajisahau na kuona kuwa tuna haki zaidi ya waume zetu.
Watoto pia tumeshindwa kusimamia nafasi zetu na kuegemea upande mmoja bila kutafakari madhara ya baadae.

Ni kweli hakuna kama mama, lakini hata baba pia ana mchango wake katika maisha yetu haijalishi mapungufu aliyonayo.
Ukiangalia familia nyingi za namna hii watoto wa kiume ndiyo humchukia zaidi na kumtenga baba kutokana na sababu mbalimbali za kifamili, bila kujali na wao watakuwa na familia na mambo kama haya yaweza tokea.
Na yanapokuja kutokea kwao ndipo huanza kulalama kuwa wanawake hawafai, mara hivi mara vile.
Tuweni na mioyo ya kuwasamehe wazazi wetu pale wanapoenda ndivyo sivyo na kusimamia nafasi zetu bila kujali.

Kwani sisi sote ni binadamu hatutakuja kuoa au kuolewa na malaika.

NB: Hii si kwaliotelekezwa na baba zao toka ujauzito, kuzaliwa hadi kuwa mtu mzima.
 
mbona umeandika kwa hisia hivi? yamekukuta nini
 
ili familia iende vizuri lazima baba awe mkali, matokeo yake watoto humchukia baba, ikitokea mama hajielewi ni rahisi sana watoto kuside na mama na kumtenga baba, watoto wanaweza wapenda wote baba na mama kila mtu ananafasi yake.
 
Ni kwa sababu 100% mtoto kama hawajambadilisha hospital ana uakika huyu ndo mama yake.

Mnachapiwa kisa muitwe baba, mtoto unajua kabisa sio wako ila kwa kuwa ulishawaambia ndugu kuwa ni wako unakufa kiume.mwanangu, mwanangu....

Kitanda hakizai halamu, kwenye uwezo wa kutoa matumizi ndo baba.

Mama ni mama, nani kama mama.

Baba ni baba ila sometimes sio baba.

Wenye janga kubwa hilo ni wale ambao hawana ndoa rasmi, ila na kwenye ndoa linawakumba ila kwa asilimia ndogo.

NOTE: sio wote jamani naomba munielewe.
 
Ni kweli kabisa na ukichunguza kwa umakini jambo hili linashika kasi sana katika familia nyingi, na kama hujaambiwa na wanafamilia huwezi gundua.

Tatizo kubwa naona ni sisi kina mama tunajisahau na kuona kuwa tuna haki zaidi ya waume zetu.
Watoto pia tumeshindwa kusimamia nafasi zetu na kuegemea upande mmoja bila kutafakari madhara ya baadae.

Ni kweli hakuna kama mama, lakini hata baba pia ana mchango wake katika maisha yetu haijalishi mapungufu aliyonayo.
Ukiangalia familia nyingi za namna hii watoto wa kiume ndiyo humchukia zaidi na kumtenga baba kutokana na sababu mbalimbali za kifamili, bila kujali na wao watakuwa na familia na mambo kama haya yaweza tokea.
Na yanapokuja kutokea kwao ndipo huanza kulalama kuwa wanawake hawafai, mara hivi mara vile.
Tuweni na mioyo ya kuwasamehe wazazi wetu pale wanapoenda ndivyo sivyo na kusimamia nafasi zetu bila kujali.

Kwani sisi sote ni binadamu hatutakuja kuoa au kuolewa na malaika.

NB: Hii si kwaliotelekezwa na baba zao toka ujauzito, kuzaliwa hadi kuwa mtu mzima.
nimeupenda sana uandishi wako,una ustaarabu wa hali ya juu sana
 
Hapana nimeshuhudia kwa ndugu wa karibu, jamaa na hata marafiki, huwa naumia sana kuona hivyo. Na wakati mwingine baba ndiyo mtafuraji mkuu lakini anakuwa hathaminiwi kabisa.
Ooh kumbe, nikadhani labda ilikutokea hivi... ila ni wakati wa kubadilika kwa wenye hizo tabia waache
 
Pia kumbuka baba wakati mwingine anakuwa bize sana kutokana na aina ya kazi yake hivyo mama anao muda mwingi wa kuwa na watoto. Hapo ndipo shida inapoanzia.
Mama ndiye mlezi mkuu wa familia na hata jamii kwa ujumla hili linafahamika...lakini baba ana nafasi yake kubwa katika kuimarisha malezi yawe mazuri na yenye tija ikiwa ni pamoja na kutimiza majukumu na wajibu wake kama baba,hivyo inampasa kuwa na muda maalum kwa ajili ya familia yake,kama kazi zake ni za ubize sana.
 
Nimependa maelezo yako ulivyojieleza...BIG UP
 
Ndio maana siku hzi migogoro kati ya wazazi hasa wa kiume na familia zao inakua sana hadi kuathiri suala zima la malezi,akina mama asilimia kubwa mgogoro kati yake na mumewe huwa unafanywa ni wa familia nzima yaani yeye na watoto dhidi ya baba
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom