Huyu jamaa anaitwa Joe, yupo jiji la New York marekani,,ni kijana wa mtaani nikimanisha hana sehemu ya kulala, ambaye hua anatumia njia ya kuwatongoza wanawake na kulala nao ili asilale kwenye...
1)Unakutana na mtu anakukonyeza alafu anajifanya mdudu kaingia machoni.
2)Staili mpya ya midume na mijike kutoa ulimi kwa kuuroll.
3)Kuuma mdomo kistaili flani hivi.
Endeleeni kuongeza nyingine.
Habari wadau wa jukwaa pendwa, jukwaa nalolipenda kushinda mengine hasa kutokana na kuwa na vioja vingi kila kukicha.
Muda mrefu umepita tangu kutia maguu kwenye jukwaa hili, hiyo ni kutokana na...
Nkionaga mwanamke kajichora hina mikononi, halafu awe amevaa ushungi then kavaa na kasaa mkononi. . nadataga nao sana
Hata sijui kwanini ila huwa nawakubali sana aisee
Habari wana jamvi,
Naamini mko na siku njema. Kuna jambo ambalo huwa linanisumbua nikaona sio vibaya nikashare nanyi huenda nikapata uelewa.
Nimeshawahi kukutana na wanaume, watu wazima ambao...
Linapokuja suala la ulimwengu wa sita kwa sita kila mtu kuna kitu huwa anakipenda toka kwa mpenzi wake.Kuna baadhi ya wanaume hupenda mwanamke anaepiga mayowe na kutoa sauti za mahaba ili...
Kwanza nawasalimu wajumbe humu!
Mimi bado sijaoa ila muda c mrefu nitaoa. Ingawa bado ila nimeshuhudia watu wawili ktk hatua za awali walipoenda kujitambulisha ukweni.
Mfano, rafiki yangu...
Habari wana jukwaa,
Kama kichwa cha habari inavyooelezea nimezamilia mwaka huu kujitambulisha ukweni na nashidwa pa kuanzia, kwa wale wazoefu nisaidieni nataka mwaka huu usipite niishi na jiko...
Kuna jamaa mmoja anatabia ya ajabu na inashangaza sana.
Anapenda mkewe agongwe nje anafurahi yani kuna wakati anamtengenezea mazingira yeye mwenyewe, hii inakaaje? Yani imetushangaza sana wajuzi...
Hakuna Kitu Kizuri Kama Kupata Mwanamke Anaye Kuheshimu, Kukusikiliza Na Kukupa Mapenzi Motomoto.
Yaani Kuna Mda Mpaka Unatamani Kumwambia Awafundishe Mademu Zako Wengine
Uchawi Ni Pale Ambapo Umepokea Voice Note Kutoka Kwa Demu unaempenda Halafu, Unakimbia Kimbia Kila Chumba Kama Chizi Kutafuta Earphone Uisikilize Halafu Unasikia
"Mimi Sio Type Yako Tafuta Wa...
Hivi unapokuwa umeoana na mkeo/mumeo ni lazima mtoto anayezaliwa afanane na mmoja kati yenu? Je ikitokea mtoto hajafanana na yeyote kati yenu mtoto atakuwa amerithi kwa wazazi au jamii yenu mfano...
Mwanamama mmoja anaandika hivi..
Ana miaka 35, na mumewe ana miaka 45.
Wakati anaolewa na huyu baba alikuwa tayari ana mtoto wa kike aliyezaa na mwanaume mwingine.
Yeye na huyu baba wamefanikiwa...
huyu dada mmoja mzuri tu nimemwambia kwa ukweli na uwazi ikiwa anataka nimwoe basi awe ananipa kwa style hizi nitakuwa tayari.toka nimemtumia hiyo text na hizi picha kaninyamazia. sijaelewa...
Wakuu,
Mimi nimejikita sana kwenye kuoa elimu ya ushauri ma kimahusiano kwa muda mrefu, na moja ya case tunazokutana nazo ni migogoro mbalimbali ya kimahusiano kutoka kwa pande zote za kijinsia...
Habari za Valentine,
Naandika huu uzi nikiwa nimetandika mkeka nje ya nyumba nimelala naota jua maana mwili wote unaumaaa kutokana na game hatari niliyocheza Jana usiku.
Baada ya kukaa muda...
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto...
Don’t lose yourself trying to love someone. Don't incarcerate yourself in silent hell trying to stay in a relationship that was never meant to be. You shouldn’t have to be a liar to make someone...
Jamani wana jamvi ,mimi kuna demu mmoja hivi ninamtongoza yapata wiki mbili hivi mpaka sasa ,lakini jibu lake ni moja tu" anasema kwa sasa hataki kuwa na mpenzi kwa sababu anataka kumpumzika "...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.