Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanajamvi, mm ni kijana 20's natafta rafiki yeyote wa kike just for friendship, 0762184383
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Eeenh! Bichwa la Habari limejitosheleza lakini kwa kuwa wengine ni wagumu kuelewa niwalainishie. Hivi wewe Mwanume mwenzangu unaethubutu kunyanyua mkono wako kwa nia ya kumdhuru mwanaume...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Jana nilirudi safari baada ya kukaa kwa muda wa mwezi mbali na mke wangu, sasa alikuwa kamiss sana mambo fulani. Kama kawaida yangu nilipiga show ya muda bila kidogo, akaniambia ana wasiwasi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkeo au mmeo kukwambia unafanya mambo ya ******* in kwamba kakutukana au kakwambia ukweli? Karibuni kwa maoni
1 Reactions
58 Replies
6K Views
haya mambo mengine yanaghadhibisha sana. jana nilifanikiwa kuweka saini kwa mrembo mmoja wa muda mrefu sana ambaye nilikuwa namfukuzia kwenye usajili. actually ana jamaa yake.siku mbili tatu ago...
18 Reactions
177 Replies
19K Views
Niko na urafiki na dada mmoja ambae tulijuana kwenye mazingira ya kazi lakini hatuna uhusiano wa kimapenzi sababu yeye ana mpenzi wake na mimi nina mpenzi wangu . Kwasasa yeye hana kazi na sijui...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Pole na hekaheka za hapa na pale za kujitafutia riziki, nisiwachoshe sana ngoja niende kwenye mada. Ni mwaka wa kumi na tatu tangia jamaa yangu aoane na mwenzie wana watoto 4 mpaka sasa kwa mtoto...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Da tangu nisikie hizo story za kibamia mi kama boy ilinibidi nijicheki kama nami ninacho hicho kibamia ama lah kwa kutest ngoma nzito nzito zile zilizokubuhu. Basi mkubwa na wanawe nikajitoa...
3 Reactions
123 Replies
10K Views
Ni kama ma predator, yaani wanyama wawindao kama vile simba, ambao hawali mizoga au wanyama waliokufa wenyewe au kuuliwa katika mazingira wasio yajua, bali hufurahia sana wanyama wanaowawinda na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Boys behave basi, you find some one within the same day of knowing each other requests sex, while when girls request money at the same day of acknowledgment ,the comment coming out will be...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna hii tabia ya wadada kupenda kuomba baadhi ya vitu vya wapenzi wao na kukaa navyo hata kama hawana matumizi navyo. Mfano mwanamke anaweza akamuomba boyfriend wake nguo anayovaa, saa ya...
3 Reactions
66 Replies
7K Views
Wadau kuna mwanamke mmoja huyo tumekuwa na urafiki wa karibu wa Kaka na dada kabla ya hapo huyu mdada nimekuwa nikimuelezea hisia zangu kama nampenda lakini amekuwa akinikatalia Mara nyingi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
My Confession: Mazoea Huzaa Tabia Nililitumikia Jeshi la Polisi kwa miaka 25 kabla ya kustaafu kwa hiari. Nilipofikisha muda wa miaka 22 kazini nilikaa chini siku moja tumetoka kwenye tukio la...
14 Reactions
85 Replies
13K Views
Nimeona kwenye send off na harusi nyingi mabinti wakicheza kwa kurusha rusha ngumi utadhani wanacheza boxing. Sasa hii sijui ni fashoon au wanatutahadharisha wanaume ili tusithubutu kuwapiga!
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Nawasalimu! Nimechoka na story za kutunga na kubuni za baadhi ya members humu, sioni sababu ya kunyamaza na kupotezea hili hata mkisema niachane nao lakini mtu mzima na akili zako tafakari ikiwa...
15 Reactions
83 Replies
7K Views
1. A fake girl will never call you except flashing. The highest she can ever do is to flash you. 2. She complaints unnecessarily over little things 3. A fake girl only plays and smiles with you...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Dunia maisha mafupi sana, kununa kila wakati unajikosesha Furaha na utamu wa Kuishi. Najua matatizo na Mitihani haishi, lakini tambua kuwa aliyekupa mitihani si Mwingine bali ni Mola wako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[emoji23][emoji23] buku mbili
3 Reactions
92 Replies
9K Views
[emoji3][emoji3][emoji91]
3 Reactions
32 Replies
6K Views
MH! MISSED CALL YA SHEMEJI!-1 "Dada Ime, kama wewe dada yangu kweli niambie ukweli, nini kinaendelea kati yako na mume wangu?" "Hakuna mdogo wangu, unajua mumeo amezidi sana utani. Ni hilo tu."...
7 Reactions
206 Replies
88K Views
Back
Top Bottom