Kama kichwa cha habari kinavyo sema,
Mpenzi wangu kaniambia nimuache kwanza, basi mimi nikamjibu “ok sawa”zimepita siku karibu tano saizi atujatafutana kwani hata namba yake nilifuta kwa ajili ya...
Habari ndugu zangu? Naomba niende moja kwa moja kwny mada husika.
Ni muda kidogo hili suala la "vibamia" limeibuka, na hii ni ktk kizazi hiki cha utandawazi ambapo zinaa imeshika kasi kuliko kitu...
Jamani mume wangu anakisirani yani ukimkosea kitu kidogo tu anaweza kununa hata miezi sita, hatakula nyumbani, atakublock kwenye mitandao ya kijamii yote na hakuna kitu kitaendelea cha maendeleo...
Shift za usiku zinapunguza bonding kati ya wanandoa,hii inatokana na sababu hizi:-
1. Mapenzi ya mchana hayanaga kujiamini kama ya usiku
2.Hisia za mapenzi mara nyingi zipo usiku kwa wanandoa...
Salaam wadau,
Namshukuru mungu pamoja na umri kwenda lakini kwa kuwa bado nipo town najiita babu mbishi,
Bahati nyingine mke wangu amepata mtoto na tamu zaidi mtoto wangu mwingine niliezaa na mke...
Habari zenu
Nilikua naomba mtu aliyewahi kupitia kipindi cha talaka na mwenza wake hasa wanawake..tupeane experience kipindi karibu na talaka, wakati wa talaka yenyewe na maisha baada ya talaka...
Habari za wikiendi!
Mume wangu hayupo yapata wiki ya tatu amekwenda Rwanda kibiashara hapa nipo na mdogo wake yupo chuo mwaka wa tatu Udsm.
Tumeishi Kwa kutaniana sana kila siku kama kitu na...
Wakuu..wana MMU...watoto..wanafunzi ...wenye ndoa zao..
Nakiri kabisa Mapenzi ni kizunguzungu.
Kama alivyosema Kalori Saida
Yani mimi ni wa kulazimishwa kabisa ni IKANE familia yangu...
Binti...
Nina mpenzi wangu niko nae kwenye mahusiano zaidi ya miezi sita sasa, mimi ninampenda na yeye nina imani ananipenda ingawa siwezi kuwa na uhakika na hilo kwa asilimia mia mana sijui anachokiwaza...
Hili jambo sijawahi kulielewa kwenye jamii yetu, yaani wanaojihusisha zaidi na kuongelea kuhusu vibamia au sijui kutahiriwa na kutokutahiriwa ni Wanaume zaidi kuliko Wanawake, sasa kwa nini?
Wewe...
Habari wana JF, Mimi nina mke tumefunga ndoa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja kwa sasa ana miezi 8. Mke wangu ni mgomvi mno, kila ukimueleza jambo anapaniki hata kama ni zuri kiasi gani.
Kuna...
Mke wake kaniita kuna jambo niwasaidie katika biashara yake. Baada ya kufika basi jamaa wakati naongea na mke wake mara apande na viatu kwenye sofa, mara anywe pombe yake kama maji, yaani anafanya...
Hello guys
Ombi langu kwa Mtanzania yyte aliefanikiwa kujiunga na chuo cha Antwerp Belgium tuwasiliane PM, anisaidie kujua mambo flan ili nikamilishe stage ya pili ya maombi yangu ya kujiunga na...
Taarifa njema ikufikie popote ulipo kwamba utafiti wa Kisayansi umefanyika ambao umekuja na majibu yasiyo na shaka wala chembe yoyote ile ya hofu na mwenzake wasiwasi kwamba kumbe pale Mwanaume na...
Hii ni kwa wale walio single kama mimi, nadhani kila aliye single ana sababu zake za msingi zinazompelekea awe single. Kuna wanaopenda kuwa hivyo na wasiopenda.
Kwa kila aliye single aeleze...
Tafiti zimethibitisha kuwa wanaume wanaovuta sigara wana asilimia kubwa ya kutoa shahawa ambazo hazina maumbile mazuri au ya kawaida na hivyo kuongeza uwezekano wa mimba kuharibika au kuzaa mtoto...
Ndugu zangu wana JF,
Kama mnakumbukumbu vizuri nilishatoa mwongozo kuwa nilipima na mtu mwenye UKIMWI halafu kipimo vikawa tata. Ila baadaye kwenye kipimo cha uhakiki kikawa sawa. Ila sikuwa na...
Mnaishi kama mke na mume ndani ya
Nyumba, mkianza kuchokana tu,
Basi kinanuka...Mara mmeachana kwa kashifa na dharau kibao, kwa kweli nyumba hizi zina mambo mengi sana,
Watu wanaishi kwa mazowea...
Salaaamu zenu wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada, kuna dada tuliwahi kuonana Dar tukapeana namba nikaimbisha mistari yangu akakubali pindi alikuwa keshaondoka yupo mkoani, mawasiliano yakaendelea...
1. Mawasiliano yanapungua kila mnavyozidi kuendelea.
2. Kila mara ukiwasiliana naye anakwambia yupo bize atakupigia badae hala wala hakupigii.
3. Kila unapompigia au kumtumia msg majibu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.