Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,909
Wakuu,
Mimi nimejikita sana kwenye kuoa elimu ya ushauri ma kimahusiano kwa muda mrefu, na moja ya case tunazokutana nazo ni migogoro mbalimbali ya kimahusiano kutoka kwa pande zote za kijinsia. Katika kusuuhisha hiyo migogoro hiyo, migogoro ambaye historia ya mwanamke kabla ya ndoa aliwahi kuwa kwenye mahusiano na mume wa mtu yamekuwa ni mahusiano magumu kusuluhisha sijawahi kuona.
Kwa kifupi acha niishie hapo, kwa jinsi ninavyoona wakaka wanavyopata shida kurudisha mahusiano yao yenye hali hiyo, ningelishauri kijana ambaye unahitaji kuingia kwenye mahusiano ya kudumu hakika usiingie kwenye mahusiano ya kudumu na mdada ambaye huko nyuma alishawahi kuwa na mahusiano na mume wa mtu.
Mungu awabariki.