Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,593
- 43,023
Kuna jamaa mmoja anatabia ya ajabu na inashangaza sana.
Anapenda mkewe agongwe nje anafurahi yani kuna wakati anamtengenezea mazingira yeye mwenyewe, hii inakaaje? Yani imetushangaza sana wajuzi mje mtuambie hii inakaaje.
NB: Jamaa hana shida ya pesa
Nirijali pia anapiga mzigo fresh