Noble Moh
Member
- Feb 7, 2018
- 9
- 12
Jamani wana jamvi ,mimi kuna demu mmoja hivi ninamtongoza yapata wiki mbili hivi mpaka sasa ,lakini jibu lake ni moja tu" anasema kwa sasa hataki kuwa na mpenzi kwa sababu anataka kumpumzika "
Ila kinachonishangaza ni kwamba kila nikikutana nae na kumuomba nimkumbatie huwa anakubali na nikimuomba tupige story huwa anakubali na nampiga mpaka mabusu la ni kitu kimoja tu ambacho hakipendi '"Nikimuita baby au mpenzi huwa anachukia sana.
Juzi nimemtumia meseji na kumuomba nikutane nae lakini kanijibu shit sana, "Sitaki kukutana nawe tena na kama vipi unipotezee tu maana sitaki usumbufu mimi nikamjibu poa kama vip futa na namba yangu kabisa lakini hakunijibu chochote.
Sasa leo hii nimekaa pande za home mida ya mchana,ghafla meseji iliingia kwenye simu yangu ,nilipocheck nikakuta meseji ya yule demu ninayemtongoza ikisema hivi"mmh mbona upo kimya sana" Me sikumjibu chochote maana nilishamtoa akilini mwangu ,
Ninaomba ushauri wenu wadau maana sielewi kama ananipenda au ananizingua tu .