Kuna Siri gani iliyojificha ambayo naiona sana huku Uswahilini / Uswazinyo Kwetu kwamba endapo Mtoto wa Kike ( Binti ) au Mwanamke akiwa hajui kuosha vizuri Mwiko, Sufuria na Mchi ule wa Kutwangia...
Nawasalimu wanajamvi,
Yamkini mlipendana sana,tena sana na mkapanga kuoana na kuwa na familia bora yenye watoto kadhaa.
Ikatokea mpenzi wako aidha akatangulia mbele ya haki au akakusaliti na...
Jamani habari za majukumu poleni jamani naomba unishauri mimi nilikua kwenye mahusiano na mwanamke flani sasa kulingana na dosali ninazo ziona nimesha samehe nimechoka jana nikaamua kusitisha...
Habari zenu wana MMU.
Katika kufikiria mapito ya ujana na maisha kwa ujumla, nimekumbuka mambo flani ambayo kimsingi naona ulikua ni upuuzi kiwango cha PhD.
Kwa dhamira ya kuheshimu ndoa na...
Baada ya mianjo yangu ya kutafuta chochote kitu kitachosababisha wanangu wafike bara la Africa na Haiti (Thothole/chooni) nje ya mkoa wangu kwa takiribani wiki tatu hivi, niliamua kutafuta papuchi...
Kuna tabia sehemu yenye mkusanyiko wa watu wanaofahamiana, mfano maofisini, mtaani, kwenye maflat unakuta mdada mmoja katembea na wanaume hata 10, yeye kwa ujinga wake anakuwa anadhani ni siri...
Kwa ujumla inauma Sana unapokua Una mpenzi au mke unajitahidi sana kumuhudumia, ili aridhike asihangaike na bakora za nje. lakini inakuwa tofauti. inawezekana labda maamuzi yenu yanatokana na...
Habari za jioni makaka na madada humu ndani?
Nilipokuwa single nilitamani kuishi maisha mazuri ya kifahari na mume mwenye pesa nyingi za kutosha.
Dua zangu Mungu amezisikia naishi vizuri sina...
Habari wakuu
Poleni na mihangaiko ya kila siku.Bila kusahau changamoto zake
Wakuu leo nimeponea Tundu pa sindano
Nimeamka asubuhi nina mihemko ya kongoka vibaya mno.Nikasema labda nipate...
unakutana na mwanaume, mnabadilishana namba, mnakuwa marafiki, unagundua yeye anaishi pekeyake na wewe unaishi peke yako. Cha ajabu anapogundua tu kuwa unaishi peke yako anang'ang 'ana aje kwako...
Mimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaishia vizuri.
Habari zenu wana MMU. Naenda moja kwa moja kwenye mada...
Ilikua mwaka 2005 wakati huo nikiwa Form 2 (Darasa la kumi) nikiwa nasubiri matokeo ya mtihani ambao nilikua tayari nilishafanya.
Wakati...
Moja kwa moja kwenye kichwa cha habari, nadate na mke wa mtu sasa mimi nilijua ni siri yangu na yeye, nashangaa juzi ameniambia nimsindikize mahali vuuuuuuuh tunafika nakuta nimeandaliwa chakula...
3 days ago
[https://2]
Habari wadau/wakuu
Niongee kidogo kuhusu sumu ya mahusiano yetu
KATIKA harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine...
Hivi unapata wapi Ujasiri / Ushujaa kabisa wa ama Kuanzisha Mahusiano au Kuoa kabisa Mwanamke ambaye tayari ameshazalishwa huko na Mwanaume mwenzako na akawa mwenza wako? Hivi enyi Wanaume wenye...
Habari wakuu,
Bila kupoteza muda naombeni ushauri haraka sana kabla sijafanya maamuzi ya mwisho, ni hivi mimi nimekua kwenye uchumba na mrembo wangu kipenzi kwa miaka mitatu na mpenda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.