Ndugu yangu wakaribu kaja kunifata nakuniomba ushauri yeye alimuingilia mwanamke kinyume na maumbile sasa siku yapili kampiga cm kuwa dem wake yupo hospitali nakule nyuma ya ukuta kimetoka kinyama...
Habari,
Watu wengi wanatamani Kuwalea watoto wao katika misingi ambayo baadae watakujakuwa Genius, intelligent au hata kuwa na vipaji vikubwa,
Lakini linapokuja suala la malezi wengi wetu hatujui...
Wakuu,
Nimekaa nimejiuliza sana. Kwa kipindi cha wiki sasa kumekuwa na mada nyingi zikitolewa zote zikiwa na lengo la kuwaasa na kuwafundisha wadada au wamama kubadilika na kuacha kuchezea hisia...
Mapenzi yana tabia ya kumuweka mtu njia panda, na ilivyo kawaida ya mapenzi unapokuwa huna mtu unakuwa salama kiafya na kiakili japo moyo unahangaika kutafuta faraja. Ukimpata mtu "mpenzi" ujue...
Kwa kawaida watu wanatumia msemo usemao kuwa ''kulea mimba si kazi, kazi ni kulea mtoto". Huu msemo unaweza kuibua hisia zetu, lakini pia ni msemo wa mtu ambaye, ama anaujua ugumu wa kumlea mtoto...
Wakuu za asubuhi,
Nimeona nisimulie kisa hiki kilichonitokea miaka kama mitano iliyopita. Nakumbuka kipindi hiko nilikuwa nasoma chuo kimoja mjini morogoro so siku za weekend nilikuwa na kawaida...
Habari zenu wakuu,
Natumai nyote mpo salama,
Kiufupi nahitaji ushauri wenu,
Mimi nina dada yangu kaolewa mwaka wa tatu sasa hivi sasa jamaa kamuoa ni mtihani mtupu anapenda wasichana sana...
“Kumfanya Mpenzi wako wa zamani kuwa Rafiki yako ni sawa na kuchukua Muwa na kuufanya fimbo ya kutembelea, hatihati ni pale utaposikia njaa au kupata hamu utauchukua fasta na kuula Muwa ule, EX ni...
Baada ya kupata uhamisho ofisini wa kuja Dar nikitokea Mwanza, nilipanga karibu na bosi mmoja wa kampuni fulani mahali fulani hapa Dar (sipataji nikiogopa kujulikana)
bosi huyo alikuwa akigombana...
Nimemtembelea mpenzi wangu leo (naishi mbali nae)bnimekuta mdada anamfulia nguo pamoja na boxer zake huku yeye hayupo ikabidi nimuulize huyu dada yeye ni nani? Akanijibu yeye ndo huwa anamfulia na...
Hivi karibuni kuna mwanamke tulipeana namba kwa mawasiliano ya kawaida maana sikuwa na interest nae nilimchukulia kama rafiki wa kawaida.
Lakini baada ya siku kadhaa akaniambia kuwa ananipenda na...
Hi jf!
Bandiko linajieleza hivi inakuwaje mfano wanapo kwenda nje Norway Sweden America Britain China Arab Emirates nk.
Huwa wanaishije huko na mengi yatakuwa mageni Kwa madada zetu choo cha...
Habari wadau,
Ni wiki ya tatu tu tangu nipate kazi katika moja ya mashirika binafsi hapa nchini. Ni jambo la heri ukizingatia ndio kwanza nimemaliza chuo mwaka jana novemba.
Nilikuwa mwenye...
Happy born day to myself (kijana).
Nafurahi kwamba leo, toka kuwamo duniani ni miaka 22 sasa, namshukuru M/Mungu kunijalia uhai na furaha.
Wakuu napenda tuweze kubadilishana mawazo, juu ya umuhimu...
Habari wana jamvi,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37, nina elimu ya chuo kikuu na kazi nzuri, nimekamilika biologically, physically.
Kitabia mimi ni binadamu sio malaika. Imani yangu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.