Wake za watu katika nyumba za kupanga.

Wake za watu katika nyumba za kupanga.

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,387
Bwana bwana, Leo mwana Jf mngesikia nimechezea Koki live,

Ni mwezi tu,Toka nimehamia hapa nyumba ya kupanga,kuna Dada alitokea kunichangamkia sana,kwanza siku nafika tu alinisaidia kuingiza vyombo,pia Wakati napanga panga vifaa vyangu,akaniletea chakula cha mchana.
Basi siku zilivyozidi kwenda ikawa tunazoeana kwa kasi mpaka Hot kisses kwa sana..haha japo ni muke ya mwenyewe

Sasa jana usiku mida ya SAA nne,wakati anaenda kuoga nikamtania naomba nikakuogeshe,akaAccept offer,basi ile kazama bafuni nami pia nikazama,huku mmewe akiwa chumbani kwao.
Tukaanza Ku scratch CD kwa sana tu, ghafla Mmewe akagonga mlango kuwa nae anataka kuoga.. Hahaha aisee nilipigwa na butwaa,macho yalinitoka kuliko kawaida,
Dada inabidi amgomee,jamaa akakomaa na kuonesha msisitizo, dah Dada ikabidi amwambie maji amemaliza akachukue ndani ndoo ya maji mengine...
Kama Bahati jamaa akaenda ndani huku akijisemesha 'UNACHEZEA CHEZEA MAJI TU BILA MAANA'
mwanaume ilikuwa pona pona yangu,nlitoka kwa speed ya 'USAIN BOLT'. haha maana ningekutwa Leo ningekuwa nyama ya HAMU[emoji3] [emoji3] [emoji112] Bwana haya mambo yasikie tu kwa wengine
 
Leo lazima nikukodie watu maana umeanza kunitangaza mi boya
 
Hahahha we jamaa umenichekesha sana daa [emoji16][emoji16] sikupatii picha ulivyotoka nduki
 
Na hapo bado hujamgegeda ila hufai hata kua mwizi cku ya kwanza tu umeponea kutatuliwa marinda
 
muosha huoshwa ipo siku katika maisha yako nawe utakuja kugongewa mke wako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom