okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,631
Hello
Is this a curse? coz nimejaribu ku-observe ndoa nyingi nimegundua kuwa wanandoa wengi wameoa na kuolewa na watu ambao wasiowapenda kabisa, sasa sijui wana-manage vipi kuishi kwenye ndoa hizo au wanavumiliana tu?..coz i cant imagine waking up everyday next to a woman ambae simpendi, especially kwa wamama walioolewa utaskia huyu mwanaume nlikuwa simpendi, baada ya kunifuatilia sana ndo nkaolewa nae, nliekuwa nampenda alikuwa na mambo mengi. Kwa wanaume utaskia mm nlikuwa sina options umri unaenda ikabidi nioe/au demu alikuwa wa part time lakini alintegeshea mimba etc..
When i say kupenda or DREAM PARTNER simaanishi yule unaemtamani kingono, i mean yule ambae ukimuona roho inashtuka, na unajisemea i wanna spend the rest of my life with this man/woman, huko ndo kupenda ninakokumaanisha, kwa kingereza kiingine wanaita "YOUR CRUSH"
Wengine wanaoa/kuolewa na watu ambao sio kwamba hawakuwapenda tu, bali hata hawakuvutiwa nao kingono in the first place, its a very sad life.
Kwa wana-jf mlioko kwenye ndoa, je mmeoa/kuolewa na dream partners wenu? jibu kama ni ndio, are u sure dream partner wako anakupenda the same way you love him/her?