Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama title inavyojieleza, Sifa: Mchapakazi, mrembo/mzuri, mkristo, umri kuanzia miaka 18-20, si mrefu sana au mfupi sana awe wa kati, awe mtanzania. Sifa zangu: Umri miaka 25, urefu wa kati...
2 Reactions
3 Replies
860 Views
jana ilikuwa siku ya wanawake duniani. woooh...! they were so sweet. mi mpaka nimepewa french kiss na dada mmoja. she was just happy... for what ? i dont know and didnt care as long as she gave...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimepatwa na mshtuko baada ya kusimama barabarani mbele ya gari moja la serikali. Mshtuko umekuja baada ya kushangaa hili gari linaunguruma wakati ndani hakuna mtu na kama linatikisika kwa mbali...
16 Reactions
353 Replies
36K Views
Habari za muda huu wanawake wenzangu.. Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia Heri na furaha ya siku yetu ya leo duniani. Ujumbe wangu : Tusikubali kukatishwa tamaa, tujitume kwenye fursa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Man cleared of sexual assault after putting finger in woman's bottom during sex Man accused of putting finger in woman's bottom during sex is cleared of sexual assault Scott Howard, 26, was found...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu bwana alipofika nyumbani kwake akitokea kazini,akaangalia simu yake akaona inaita,kuchek kumbe ni namba ya mkewe na wakati huo wanaangaliana maana ameshafika ndani,mkewe yuko kwenye kochi...
9 Reactions
67 Replies
10K Views
Habari wanajamvi hivi karibu mpenzi wangu ameanza kuvaa cheni mguuni, hapo kati nilisikiaga kuvaa hivi vitu kwa mtoto wakike maana yake anatoa mazingira, nashindwa kumuuliza mpenzi kama anacheza...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Diterbitkan March 07, 2018 TAGS Na MARKO MALULI Imepakiwa-wednesday march 07-2018 at 20:02 PM Habarini ndugu wasomaji wa makala hii ,leo naenda kuzungumzia wale marafiki zangu ambao...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo watu wakisherehekea siku ya wanawake, napigiwa simu na mama yangu analia mama yake amefariki muda si mrefu, ntamkumbuka Kwa mambo mengi, vituko na wajukuu wake. Alikuwa akisumbuliwa na uvimbe...
8 Reactions
79 Replies
5K Views
Nitakuita mama.. Mama watoto Mama chanja Mama vyovyote vile ila wewe sio mama yangu. Na katu mama yangu sitomuita "bi mkubwa" nawaza naona ni matusi makubwa sana "kumuita mama mzazi "bi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna hao madada wasiopenda kufanya kazi wao kazi yao ni kupiga mizinga wanaume ili waweze kuishi (Kudanga) Ukiwauliza wengi wa wanawake wanaofanya hiyo kazi majibu yao huwa ni easly tu kwamba...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Haya ameyasema leo wakati akifungua branch ya CRDB chato.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwayeyote yule ambaye hakupata upendo kwenye mahusiano.kama mm mwanzo kweli tulikosa mambo mengi ...!!naomba kusema kwamba nafaidi sana na kufurahia sana.raha ya mahusiano ,mmpendane...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakati anafungua zawadi kutoka kwa watu mbalimbali Jane alishika Box kubwa na kuanza kulifungua kwa pupa kwani alikuwa akikumbuka kuwa alipewa na Mama yake siku ya harusi yake na alitaka kujua ni...
13 Reactions
69 Replies
6K Views
Sisi date zetu hazikuwa na gharama, mawasiliano ya barua. Unnandika barua kwa Asprin unampa housegirl wenu aipeleke akifika kule anakutana na houseboy was nao wanatongozana. Hubs haja ya vocha...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeleta huu uzi hapa ili wale wenye shida na dhiki mbali mbali tujifunze namna ya kujifariji Hizi ndio njia nazotumia kujipa furaha yangu -Namtumainia Mungu maana najua hatonitupa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
habari wana JF? #. wanawake ndio mmekua waombaji wakubwa wa pesa katika mahusiano kaeni mkijua mapenzi ya kweli hayatengenezwi na pasa bali ni upendo wa dhati kutoka moyoni na kumuonea huruma...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari zenu, Nimeshangazwa na tabia iliyoanzishwa na mke wangu kuwasha kibatari kwa masaa 24 bila kuzima na huku nyumba tunayoishi inatumia nishati ya umeme. Mpaka leo naandika kwenu...
3 Reactions
108 Replies
16K Views
Niende kwenye mada husika, Unakutana na mwanamke hakujui humjui ila mmekutana tu sehemu ya service fulan, baada ya muda anaanza kukusimulia matatizo yake na Mume wake kwa kukutaka ushari, mara...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Akizungumza leo katika kuazimisha Siku ya Wanawake duniani Rais wa Uganda Mzee Yoweri Museveni leo ameamua rasmi kuwatolea ' uvivu ' Wanaume wenye tabia ya ' Kupiga ' Wake zao ambapo amewatolea '...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom