Wanawake ni watu wa kujisahau sana

Wanawake ni watu wa kujisahau sana

mafoleni

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
220
Reaction score
372
Unakuta dada mfanyakazi wa ndani anatembea na bosi wake, bosi anampenda kweli kweli, na anaamua kumuelezea kwanini anampenda kuliko mama yake yaani bosi lady sifa kubwa aliyonayo ni kujua kumpikia kuliko hata mke wake, mwisho wake anaharibu ndoa ya bosi wake na kuolewa yeye.

Cha ajabu sasa baada ya kuolewa na yeye anaamua kuwa bosi na kutafuta msichana wa kazi ili ampikie mumewe, unadhani chakula kikiwa kitamu zaidi yake nini kitafuata?
 
Kamwe mdada wa kazi hawezi nitoa kwangu hata siku 1.
Usiseme hivyo wewe! Mbona unajiamini hivyo? Hilo ndio kosa lenu kujiamini kupita kiasi. Mdo mana wengi wanaachika huku hawaamini kinachotokea. Nilikua na mschana kama hivi alikua najiaminisha hata mbele yangu kuwa siwezi kumwacha hata nifanyeje na hakuna wa kumpiku. Mi nilikua namwangalia tu na mwisho wa siku hakuamini maana ilitokea paap nikaamua kumsimamisha rasmi. Usijiaminishe hivyo kwa mwanaume maana huwa hatupendi hizo kauli.
 
Bado Kuna wanaume wanatembea ba house girl siku hizi?

Mtu ameajiriwa kupika na kufua ndo unamhamishia mapenzi?

Hamjui kutofautisha kati ya mambo yanayofanywa Kwa upendo vs. mambo yanayofanywa sababu ni sehemu ya kazi?

Kama hujui kinachotofautisha mke na house girl hustahili kuitwa mume Wala mwanaume.
 
Ukichunguza kwa undani utakuja gundua chanzo ni MUME.

Maana hata kama Msichana wa Watu hataki, kuna baadhi ya NJEMBA zinajua kulazimisha.

Tena ikiwezekana hata kwa MIKWARA, yule Msichana wa Kazi kutishiwa kuachishwa KAZI
 
Tema mate chini
Namafahamu sista mmoja alisema hivo hivo.
Now mfanyakazi wake ana mtoto na mumewe.
Jiamini lakini usijimini kupitiliza

Kwani kosa ni lipi kwa kijakazi kulala ama kuolewa na baba mwenye nyumba???

Kosa kubwa ni sie kina mama kuwadharau hawa watu eti ooh siwezi shea penzi na housegirl kauli mbovu na mbaya mno tunatakiwa tujue housegirl ni mwanamke km wewe au mimi ana papuchi tena waweza kuta yake tamu na nzuri kuzidi yako unayoipulizia makorokoro na matakataka kibao kazi yako kubwa ni simu na kutafuta pesa majukumu yako km mama yote yanasimamiwa na housegirl huyohuyo unayejishaua kumuonea kinyaa

Kelele kila siku ni zako, kupika hujui, watoto wanaishije humo ndani hujui mumeo akitoka kazini huyo girl ndo anampokea mizigo yake tena kwa adabu anamsalimia na kumjulia hali ya siku yake kazini we unajivimbisha tu

Ombeni sana nisipigike siku moja nikawa housegirl wenu maana hawa wanajiaminisha ndo wazuri unamtoa kwake huku unampa pole kwa upumbavu na mishauo yake

Mwanaume kwa asili anapenda kunyenyekewa lkn sie tunajitia kusimika mivichwa yetu ya weaving acha waolewe mahousegirl wanaojua nini maana ya kulea mume
 
Huyo mwanaume ni kiazi... kwanini asimpeleke mkewe sehemu wanakofundisha mapishi ajifunze huko?
Rubbish
 
Back
Top Bottom