Warembo kwanini huwa hamli chakula mnapotoka nyumbani?

Warembo kwanini huwa hamli chakula mnapotoka nyumbani?

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
786
Kuna katabia wadada huwa wanako na kanakera sana. Yani pale mnapokuwa na mihadi kila akija anasema hajala tokea asubuhi hivyo anasikia njaa sana.

Hii huwa inaharibu sana hesabu maana kama kawaida yao ataagiza kuku na chips, ndizi na red bull hapo ameshaharibu hesabu kabisa.

Ustarabu ni kwamba ukitoka home kula chakula kabisa.
 
Kuna katabia wadada huwa wanako na kanakera sana. Yani pale mnapokuwa na mihadi kila akija anasema hajala tokea asubuhi hivyo anasikia njaa sana. Hii huwa inaharibu sana hesabu mana kama kawaida yao ata agiza kuku na chips,ndizi na red bull hapo amesha haribu hesabu kabisa. Ustarabu ni kwamba ukitoka home kula chakula kabisa.
Tatizo liko wapi?
Hizo gharama za chakula, kata katika ile "budget" yake.
 
Nashangaa wanalalama waseme ukweli kuhusu bajeti yao. [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Tatizo sio sisi kula tatizo ni mifuko yao inakua haijaandaliwa kulipia bill ya chakula. Wakati ni rahisi kulipia chakula kuliko vinywaji. Kuna rafiki yangu mmoja anasema mimi ni bora anilipie chakula kuliko kinywaji maana nitamfilisi.
 
Ni kweli chakula ni rahisi bei zake wala si vinywaji, ni muhimu kujipanga kabla mtoko.[emoji4]
 
Back
Top Bottom