Sema anakuwa amekomaaHaujawahi kumuona Serena wewe
View attachment 710681
Sipo hivyo kabisaBila shaka utakubaliana nami,maana wanamisuli iliyokakamaa kama wanaume,mfano wanariadha,wacheza mpira,mieleka nk,,ukiwa nae,unachojali ni kudo basi
Hakukosea Ni kweli huyu ambaye amelipa mahari na kumvisha bint pete ya uchumba na video kusambazwa kote ati wanamwita she? Halafu anakimbia na wanawake, anachezea watu huyu kwenye riadha "SHE" kwenye malovee "HE" huo Kama sio upuuzi Ni Nini?Speak of Caster Semenya mhhhh..Trevor Noah anasemaga 'he's a woman' lol