Nashindwa kusamehe

Nashindwa kusamehe

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
4,860
Reaction score
6,442
Habarini Ndugu zangu humu ndani;
Niende kwenye mada moja kwa moja, kuna vitu ambavyo nimekuwa nikiishi navyo katika nafsi yangu toka nikiwa bado mdogo nahivyo vitu vimekuwa vikiniumiza sana kiakili yaani niyale mambo ambayo nilishafanyiwa/ kusingiziwa toka nikiwa bado mdogo nampaka sasa hivi bado na mengine yanaenda huku yanaongezeka katika kichwa changu yaani tatizo nakuwa nachuki nawahusika kila nikikumbuka Yale ambayo wamenitenda kuna mengine niyakawaida na mengine sio yakawaida ila kila nikijitahidi kusamehe nakusahau nashindwa kabisa image tukio lakwanza kabisa kuniumiza nilikuwa darasa latano ila mpaka sasa hivi imeshapita miaka zaidi yakumi ila bado huwa linaniumiza na mengine mengi yaliyofatia,

Lengo langu kuja kwenu nifanyeje ili angarau niweze kusamehe nakusahau? Maana nimejikuta hata katika mahusiano yangu inakuwa nitatizo kwasababu naweza kufanyiwa kosa dogo sana na mwenzangu ila action yangu inakuwa nikubwa sana naninakuwa mgumu sana kumsamehe yaani najikuta tu nipo hivyo. Mara nyingi sina tabasamu usoni nimtu ambaye mda mwingi nipo serious/hasira, mawazo kibao namara nyingi huwa natamani nije niwaumize kivyovyote vile wale walioniumiza kwanamna moja ama nyingine, Sina mahusiano mazuri nawatu maana kupenda kwangu kuwa kivyanguvyangu wenyewe wanatafsiri naringa namara nyingi sijali, yaani nipo hivyo sipo happy kabisa kama kuna njia ambayo inaweza kunisaidia kutoka katika hii hali basi mnaweza kunisaidia lengo hasa niwe nauwezo wakupotezea madhaifu madogomdogo yabinadamu wenzangu/mpenzi, naniwe naweza kusamehe nakusahau
 
Kwanza pole..ila hvyo ulivyokua wewe ndivyo nlivyokuaga mimi..yani ni hvyohvyo..niliwekaga roho za visasi vibaya mno..ila kilichonikomboa ni maombi na kufunga..muombe Mungu akupe ujasiri wa kuachilia machungu moyoni mwako..na uwe tayari kujiweka huru maana apo hauna tofauti na mfungwa..hivyo nilivyofanya mimi kwa imani yangu sasa niko poa kabisa..yani hata nipewe madhila ya namana gani..najikutaga tu natabasamu..kingine kama hauamini sana katika maombi/dua tafuta wale madokta wakupe msaada wa kisaikolojia zaidi..ni hayo tu
 
Nashukuru Ndugu yangu acha niombe tu mungu maana kuna wakati ndio nakuwa katika hali mbaya sana yaani naweza kushinda siku nzima nawaza matukio yote mpaka machozi unitoka
 
Kwakawaida darasa la kwanza watoto huanza wakiwa na umri wa miaka 7
Sasa kama ulitendewa kosa darasa la 5 na leo imeshapita miaka 10 ina maana umri wako Appx ni miaka 22
Nadhani ukikua na kua na akili iliyokomaa utabadilika tu,

Jichanganye na watu,acha stress zisizo za ulazima,usikate tamaa ya maisha,amini Mungu,penda kufanya jambo/mambo yanayokufurahisha kila muda,fanya mazoezi ya viungo.
 
Kuna tatizo ktk mfumo wako wa maisha tafuta mtu unaemwamini au mwenye uwezo wa kukushaur share nae mambo yako...au tafuta mwanasaikologia kama una pesa akufanyie cancelling
 
natege
Habarini Ndugu zangu humu ndani;
Niende kwenye mada moja kwa moja, kuna vitu ambavyo nimekuwa nikiishi navyo katika nafsi yangu toka nikiwa bado mdogo nahivyo vitu vimekuwa vikiniumiza sana kiakili yaani niyale mambo ambayo nilishafanyiwa/ kusingiziwa toka nikiwa bado mdogo nampaka sasa hivi bado na mengine yanaenda huku yanaongezeka katika kichwa changu yaani tatizo nakuwa nachuki nawahusika kila nikikumbuka Yale ambayo wamenitenda kuna mengine niyakawaida na mengine sio yakawaida ila kila nikijitahidi kusamehe nakusahau nashindwa kabisa image tukio lakwanza kabisa kuniumiza nilikuwa darasa latano ila mpaka sasa hivi imeshapita miaka zaidi yakumi ila bado huwa linaniumiza na mengine mengi yaliyofatia,

Lengo langu kuja kwenu nifanyeje ili angarau niweze kusamehe nakusahau? Maana nimejikuta hata katika mahusiano yangu inakuwa nitatizo kwasababu naweza kufanyiwa kosa dogo sana na mwenzangu ila action yangu inakuwa nikubwa sana naninakuwa mgumu sana kumsamehe yaani najikuta tu nipo hivyo. Mara nyingi sina tabasamu usoni nimtu ambaye mda mwingi nipo serious/hasira, mawazo kibao namara nyingi huwa natamani nije niwaumize kivyovyote vile wale walioniumiza kwanamna moja ama nyingine, Sina mahusiano mazuri nawatu maana kupenda kwangu kuwa kivyanguvyangu wenyewe wanatafsiri naringa namara nyingi sijali, yaani nipo hivyo sipo happy kabisa kama kuna njia ambayo inaweza kunisaidia kutoka katika hii hali basi mnaweza kunisaidia lengo hasa niwe nauwezo wakupotezea madhaifu madogomdogo yabinadamu wenzangu/mpenzi, naniwe naweza kusamehe nakusahau
nategemea kuwafundisha watu somo hili muda si mrefu ungekuwa karibu ningekukaribisha kama baada ya saa moja na hii inaweza kuwa sehemu ya case study nikirudi nitakupa mchango wangu vizuri kwa sasa soma warumi 12:17-21, efeso 4:26-27
 
Kwanza pole..ila hvyo ulivyokua wewe ndivyo nlivyokuaga mimi..yani ni hvyohvyo..niliwekaga roho za visasi vibaya mno..ila kilichonikomboa ni maombi na kufunga..muombe Mungu akupe ujasiri wa kuachilia machungu moyoni mwako..na uwe tayari kujiweka huru maana apo hauna tofauti na mfungwa..hivyo nilivyofanya mimi kwa imani yangu sasa niko poa kabisa..yani hata nipewe madhila ya namana gani..najikutaga tu natabasamu..kingine kama hauamini sana katika maombi/dua tafuta wale madokta wakupe msaada wa kisaikolojia zaidi..ni hayo tu
goooooood! jibu
 
Una msongo wa mawazo na inawezekana ktka makosa uliyowahi kufanyiwa mojawapo lilikuathiri kisaikolojia,,,,Fanya maombi onana na washauri wakushauri
 
Kwakawaida darasa la kwanza watoto huanza wakiwa na umri wa miaka 7
Sasa kama ulitendewa kosa darasa la 5 na leo imeshapita miaka 10 ina maana umri wako Appx ni miaka 22
Nadhani ukikua na kua na akili iliyokomaa utabadilika tu,

Jichanganye na watu,acha stress zisizo za ulazima,usikate tamaa ya maisha,amini Mungu,penda kufanya jambo/mambo yanayokufurahisha kila muda,fanya mazoezi ya viungo.
Nashukuru mkuu
 
Kuna tatizo ktk mfumo wako wa maisha tafuta mtu unaemwamini au mwenye uwezo wa kukushaur share nae mambo yako...au tafuta mwanasaikologia kama una pesa akufanyie cancelling
Upo sawa kabisa, ujue kiukwel kabisa kuna vitu vingi sana sina wakumueleza
 
Ushaur hua unazngatia ukubwa watatizo kuomba ushauri bilakueleza tatzo hwez kupta ushauri mzur/sahihi
 
natege

nategemea kuwafundisha watu somo hili muda si mrefu ungekuwa karibu ningekukaribisha kama baada ya saa moja na hii inaweza kuwa sehemu ya case study nikirudi nitakupa mchango wangu vizuri kwa sasa soma warumi 12:17-21, efeso 4:26-27
Nashukuru/nitashukuru mkuu
 
Una msongo wa mawazo na inawezekana ktka makosa uliyowahi kufanyiwa mojawapo lilikuathiri kisaikolojia,,,,Fanya maombi onana na washauri wakushauri
Upo sawa yaani nimfumo mzima wamaisha niliyokulia ndio tatizo
 
Upo sawa yaani nimfumo mzima wamaisha niliyokulia ndio tatizo[/QUOT

Pole sana,,hapo wa kujiokoa na hilo zigo ni wewe Mwenyewe,, wengine tutashauri tu ila hatua chukua Mwenyewe binafsi,,kataa hiyo hali kabisa,,hesabu mema tu Mungu aliyokutendea(kuwa hai tu ni Baraka kubwa) sali,soma vitabu na makala mbali mbali za wanasaikolojia,,,jichanganye na watu ,,utaona
 
Habarini Ndugu zangu humu ndani;
Niende kwenye mada moja kwa moja, kuna vitu ambavyo nimekuwa nikiishi navyo katika nafsi yangu toka nikiwa bado mdogo nahivyo vitu vimekuwa vikiniumiza sana kiakili yaani niyale mambo ambayo nilishafanyiwa/ kusingiziwa toka nikiwa bado mdogo nampaka sasa hivi bado na mengine yanaenda huku yanaongezeka katika kichwa changu yaani tatizo nakuwa nachuki nawahusika kila nikikumbuka Yale ambayo wamenitenda kuna mengine niyakawaida na mengine sio yakawaida ila kila nikijitahidi kusamehe nakusahau nashindwa kabisa image tukio lakwanza kabisa kuniumiza nilikuwa darasa latano ila mpaka sasa hivi imeshapita miaka zaidi yakumi ila bado huwa linaniumiza na mengine mengi yaliyofatia,

Lengo langu kuja kwenu nifanyeje ili angarau niweze kusamehe nakusahau? Maana nimejikuta hata katika mahusiano yangu inakuwa nitatizo kwasababu naweza kufanyiwa kosa dogo sana na mwenzangu ila action yangu inakuwa nikubwa sana naninakuwa mgumu sana kumsamehe yaani najikuta tu nipo hivyo. Mara nyingi sina tabasamu usoni nimtu ambaye mda mwingi nipo serious/hasira, mawazo kibao namara nyingi huwa natamani nije niwaumize kivyovyote vile wale walioniumiza kwanamna moja ama nyingine, Sina mahusiano mazuri nawatu maana kupenda kwangu kuwa kivyanguvyangu wenyewe wanatafsiri naringa namara nyingi sijali, yaani nipo hivyo sipo happy kabisa kama kuna njia ambayo inaweza kunisaidia kutoka katika hii hali basi mnaweza kunisaidia lengo hasa niwe nauwezo wakupotezea madhaifu madogomdogo yabinadamu wenzangu/mpenzi, naniwe naweza kusamehe nakusahau
Ipo hivi mimi sijalelewa nawazazi wangu kabisa kusema ndio wakunizaa ila nimelelewa namama zangu wakubwa kutoka namama yangu kufariki me nikiwa bado mdogo nakwabahati mbaya baba yangu nae aliikataa mimba yangu.

Nililelewa pamoja nandugu zangu yaani watoto wamama zangu wakubwa nawengine kiumri tulikuwa hatujaachana kwahiyo hata shule tulianza pamoja nashukuru kwahilo. Changamoto ilianzia nikiwa darasa latano kuna kosa nilifanya nikajibiwa vibaya sana kuwa kamtafute baba yako aisee hiii kauli mpaka leo huwa inajirudia nakiukweli huwa inaniumiza sana sikuwa najinsi ila zaidi yakumwaga chozi. Nikawa nahitaji kubatizwa kwasisi wakristo ikahitajika zaka yaani hapo nimefanya mafundisho miaka 2 sasa inatakiwa zaka ili nibatizwe naimebaki masaa tu aisee sitasahau hiyo siku nilichezeshwa kama mpira kila nitakaemfata ananisukumia kwamwingine nililia sana ile siku yaani mafundisho nimefanya miaka 2 alafu nisibatizwe kisa elfu 15 kiukwel nililia sana ila sikumbuki ninani alinipa nikaenda kulipia nikawa nimebatizwa nashukuru mungu.

Nilipomaliza elimu yamsingi nikawa nimechaguliwa kujiunga naelimu yasekondari nakwakuwa tulimaliza pamoja namtoto wamama yangu mkubwa kwahiyo ikabidi nichangiwe michango ili niende kusoma ila ndio hivyo huku wanalalamika kiukwel roho ilikuwa inaniuma sana ila sikuwa najinsi maana nilikuwa natambua kabisa wanafanya kama kunisaidia tu maana hata wao wanawatoto wao. Kwabahati mbaya huyu mtoto wamama yangu mkubwa akawa sio mtu wakupenda shule kwahiyo ikawa kuomba mahitaji yashule mpaka nimtumie huyu ndugu yangu ndio aombe nakama akigoma basi inapita kimya kimya nakama mnavyojua shule zakata walimu palikuwa hakuna nikimpanga huyu Ndugu aombe hela ili tusome tution anazingua dah aisee kwahiyo ikawa kutatuliwa tatizo mimi kama mimi ikawa ngumu mpaka nahuyu mwenzangu awe nahiyo shida ilikuwa inaniumiza sana unakuta mwenzangu anatumiwa pesa zamatumizi mimi alafu mimi nakaushiwa yaani in short sikuwa nasehemu yamsaada ila nashukuru mungu hata hiyo nafasi niliyopewa yakupelekwa shule maana najua nawao wanawatoto wao kwahiyo ilikuwa kama hisani tu kwangu. Hayo nikwaufupi nahisi ndio tatizo nililipoanzia hapo
 
Back
Top Bottom