Ingelikuwa Ni Wewe Ungalifanyaje Jamani? NISAIDIENI!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingelikuwa Ni Wewe Ungalifanyaje Jamani? NISAIDIENI!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Grand Master Dulla, Oct 24, 2012.

 1. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Asalaam Alaykum Wakubwa natumai nimeitikiwa,mimi ni kijana wa miaka 30 na mzaliwa wa hapa jijini DSM hivyo ninalijua hili jiji vilivyo sio kwa geografia bali kwa vituko na majamboz yake.Ni kwamba mimi nimeoa miezi mi3 iliyopita mwanamwali mrembo mlimbwende toka huko Chumbageni,Tanga,Kwaweli mtoto anayajua mapenzi haswa mtoto wa KIDIGO na kinacho nifanye niwe nazirai kwa utamu kila siku ni ile rafudhi yake kila mara aongeapo kunibembeleza mimi basi sauti tuu unaambiwa macho yangu hujifunga na utambu upanda mpaka kisogoni !!!.Kilichonileta kwenu madaktari wa ushauri ni kwamba tangu tumeoana huwa ananipa mapenzi motomoto na kwakweli uongo dhambi nirudipo kazini hata nikimkuta kachoka kwa kazi nikijisikia hamu nikimgusa tu basi alikuwa yuko tayari kuniridhisha ingawa amechoka mpenzi wangu kwa kweli kwa vitendo vyake hivyo vimenifanya nimpende sana HABIBAH,kisa kilichonisibu ni kwamba siku moja wakati tunajiriwadha kwenye 6 kwa 6 nilimweka ktk pozi moja hivi maarufu wenyewe mnaliita Snoop Doggy Doggy au kwa jina jingine ni Doggstylooo !!!,au unaweza kusema "Do It From The Back!!",basi wakati nafanya mandingo yangu kwenye hiyo style nikaiona hazina yake ya pili yaani kwa wale wajanja wa kileo namaanisha JICHO!!! basi nikapata na mshawasha sana nilivyoliona linavutia HABIBA jicho lake jamani !!! basi kimoyomoyo nikajiambia nitajaribu nijiridhishe,basi pale pale nikaingiza kidole changu cha shahada kwenye Tigo ile lahaulaa!!! Habiba akaruka kama NINJA na fimbo yangu ikachomoa toka kule mbele kwake akasema mchezo huo hautaki basi mimi kitendo cha yeye kukataa kikaongeza hamu yangu mno ya mimi kutaka tendo hilo !! tena nawaonya mabinti namna mnavyokuwa mnakataa kwa kujibaraghudha staki nataka msidhani kwamba wanaume wanachukulia kama udhia bali ndo huwa mnajichochea wawapende zaidi!!! basi kumridhisha nikamwahidi sitarudia tena nikaingiza fimbo yangu kwenye shimo lake halali nikaendelea kupampu kwa nguvu basi bila mke wangu kujua nikapump ndani nikapanda juu nikaitoa fimbo yangu nje ghafla bila yeye kutabiri nikaidhamisha kwenye tigo yake kwa kweli kichwa chote kilipita mwili tu ndo ulisuasua sana basi mke wangu aliruka kwa nguvu toka kitandani na tuakagombana na kwa siku ile mchezo uliishia hapo kila mtu akageukia upande wake.
  Kinachoniumiza akili ni kwamba mke wangu anasema mchezo huo haujui lakini mbona kichwa kimezama bila pingamizi lolote? halafu jambo jingine kule kwao tanga huu ndio mchezo wao na pale mtaani kwao nilipewa stori kwamba vijana wa pale ndio mchezo wao na pia kuna kina kaka poa kibao kwa hiyo ni kitu ambacho atakuwa anakijua tuu!!!
  Tatu kama nilivyojieleza mimi Dar hapa ni mzawa najua tabia za vijana wa hapa hasa hasa hapa mtaani kwetu Manzese Tip top,huo ndio mchezo wao nachoogopa mimi ni kwamba ninaweza nisimguse mke wangu jicho lakini akashawishiwa na wajanja wa mjini wakamla na kama ni kweli hajawahi kuliwa mchezo huo akiona utamu wake hawezi kuwacha na matokeo yake atanidharau na ndio maana nilitaka nimfundishe mwenyewe ili akikutana nao vikaragosi wa nje aone kawaida tu najua ataachana nao mana nitakuwa namridhisha pande zote mwenyewe.Nasema hivi kwa sababu kwamba kuna rafiki yangu anaitwa Chris ndoa yake ilikufa hivyo hivyo hapa hapa tip top baada ya wiffe wake kuonjeshwa mchezo nje akaanza kumdharau mume wake mwishowe wakaachana.
  Sasa mimi najiuliza hivi ni kweli HABIBAH mchezo huu haujui au anakataa hataki sababu anajua nikijua kuwa anaujuwa mchezo huo labda anahofia nitamdharau kwa kuona kwamba nimepata mke boga aliyeooza yaani MAKOMBO!!!.
  Na kama hivyo ni kweli maana wanawake wenyewe wanasema mchezo ule ni mtamu sana kwao je inamaana mke wangu nisipomridhisha mimi mwenyewe anaweza kutafuta mabwana nje wamshughulikie Tigo yake wakati mimi sipo na hii itakuwa kama mambo yaliyo mkuta rafiki yangu Chris!!! naogopa mwishowe na mimi atanidharau na tutaachana kama nilivyowaeleza kuwa nampenda sana!!! sijui kanitengeneza tayari?

  Je madaktari wa Jf naombeni msaada wenu jamani ila tafadharini msiwe na jazba mana ni tatizo linalowapata watu wengi tu nasitashangaa kuona mtu kaja na tatizo kama langu.Usitukane mana humu si sehemu yake usije ukasababisha matatizo toa hoja zako na mimi nipate kufahamu maana palipo na wengi hapaharibiki na jambo wahenga walisema!!!! FUNGUKENI BASI WAJOMBIII!!!!
   
 2. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mrudie mwenyenzi MUNGU tu .ya SODOMA na GOMORA unayaedeleza hata kwa mke wako?.je kwa wengine ungefanyaje???.Badilika acha,acha,acha...
   
 3. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  unataka msaada gani sasa tukwambie kama hajawahi kufanya mapenzi kinyume na maumbile??? yeye kakwambia hataki wewe unamlazimisha ili iweje, tatizo sisi waafrika tunajitafutia matatizo wenyewe!!

  mimi nakushangaa ndugu, tena inaonekana wewe unataka kujiaribia ndoa yako. acha tabia yako hiyo ya kishetani
   
 4. majany

  majany JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  aaah..kumbe yakhe,msubiri Ponda atoke lupango atakujibu...mkiambiwa akili zenu fupi mnalalamika..PUMBAV
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  dunia haipo tena kwenye eneo lake
   
 6. M

  MKUU WA KAYA JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wewe ndio **** Vu ,mambo ya ponda yanatoka wapi kwenye mada hii.Mshauri nn cha kufanya Acha utoto ww.
   
 7. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmhhhh NO COMMENT!!!!!!!!
   
 8. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tobaaa wallah una pepo ama umerukwa !!
   
 9. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Khaaaaa! Kweli 2naangamia kwa kukosa maarifa! Inawezekana hata wewe ulishariwa xpress urself huna hata aibu unasema, "basi nikapata na mshawasha sana nilivyoliona linavutia HABIBA jicho lake jamani !!! basi kimoyomoyo nikajiambia nitajaribu nijiridhishe,basi pale pale nikaingiza kidole changu cha shahada kwenye Tigo ile lahaulaa!!! Habiba akaruka kama NINJA na fimbo yangu ikachomoa toka kule mbele kwake akasema mchezo huo hautaki basi mimi kitendo cha yeye kukataa kikaongeza hamu yangu mno ya mimi kutaka tendo hilo !!"
   
 10. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inaonesha Mkeo wa ndoa hapendi hizo mambo, Hata Dini haipendi hizo mambo, Pia Kiafya sio poa.Inakuwaje utengeneze story ndefu ya kutafuta uhalali wa jambo chafu kama hilo.Tena ni mke wa ndoa ndugu yangu sio Poa .
   
 11. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Astaghafullillah:what:
   
 12. LARRYBWAY

  LARRYBWAY Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Umepotea aiseee, hiyo ni dhambi kubwa, hata ukigundua umepanda kwenye gari moja na mtu ambaye ni shoga ni bora ukashuka aiseee
   
 13. D

  Dina JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Wee nawe, sijui hata nikuweke kundi gani. Sasa mkeo anakataa wee umeng'ang'ana tu jicho linapendeza...jicho linapendeza! Mbona unaonekana kama wewe ndio unang'ang'aniza? Si ajabu akiendelea na msimamo wake utaenda kutafuta 'jicho lingine litakalokupendeza'! Achana na hiyo tabia bwana kabla hujaiizoea (manake ushaianza kiaina) na heshimu maamuzi ya mkeo (kama kweli ni mke, manake ushantia mashaka).
   
 14. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,690
  Likes Received: 794
  Trophy Points: 280
  kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu nimegundua kutoa ushauri ni kazi ngumu sana!
   
 15. p

  peter daudi Senior Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kawatafute wahusika wa hayo nadhani hapa si penyewe mkubwa.
   
 16. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  inaonekana wewe ni mteja wa mashoga, sasa unafikiri hata mkeo ni shoga akupe TiGO...mimi sijui unataka ushauri gani hapa wakati unaandika long story kujastifai uozo wako na uchafu wako..acha mara moja! hiyo ndoa yako unaiharibu wewe mwenyewe kwa taarifa yako...
   
 17. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mweee,mweeee,mweeeee yaaaaani unasemaaaaa kwambaaaa aiseeeeeeee!....

  Mungu hebu msamehe huyu rafiki yangu na umuondolee hayo mawazo machafu kiasi hicho!...

  Njooo haraka Mwokozi wetu Yesu Kristo utuondoe katika ulimwengu huu uliokithiri dhambi za kila aina.

  Ameni!..
   
 18. majany

  majany JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Povu...........................!!!!Haya MKUU WA KAYA nimeacha utoto!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Shostiiii mwenyewe nimemkosea neno la kumpa, naogopa kutukana bure. Mi na MIBASHA tofautiiii!
   
 20. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Basi kama kawaida ya JF hili litaonekana ni jambo la ajabu sana ambalo mleta mada kalileta..yaani kuanzia post ya kwanza hadi ya mwisho kila mtu ataonekana kuchukizwa..ilhali haya mambo yapo na yanafanyika hata kwenye ndoa...my bad!!..Nafahamu uswazi hizi mambo zipo sana na watu wanafumuliwa marinda kama kawa...Ni heri uwachukize watu kwa kusema ukweli kuliko kuwa mnafiki ili watu wakupende!!

  Ushauri wangu kwako mleta mada na wengine wote..tukubali haya mambo ya Tigo na ujinga mwingine unaohusiana na haya mapenzi ya anal umeingia kwa kasi sana na watoto wengi wa kike wanaushiriki huu mchezo bila hata ya wasiwasi..Kama ni wazazi tuanze kukemea huku majumbani na kama ni wanandoa ni bora myazungumze kwa kuvunja ukimya..Ila tukifanya unafiki wa kuonekana tu tumeposti kukemea ilhali mioyoni mwetu na sisi tunatamani..itakuwa yale yale ya mbuni kficha kichwa chake ilhali kiwiliwili kipo nje!!
   
Loading...