ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,488
- 88,628
Habari wadau
Kumekuwa na mjadala wenye maoni tofauti kuhusu nani anapenda kati ya mwanaume au mwanamke,na je wanapenda kwa staili gani?
Dhana ya kwanza inadai mwanamke ndo anapenda tena anaupeñdo wa kweli kwa kutumia hisia za moyo na ndie mhanga mkubwa wa maumivu ya mapenzi pindi mambo yskienda mrama.
Dhana ya pili inadai mwanaume huwa hapendi ila anatamani na nakupenda basi huwa anatumia akili badala ya moyo na watetezi wa upande huu wanadai kuchepuka sana au kuoa zaidi ya mwanamke mja ni uthibirisho mkubwa
My take,mie naona anayependa ni mwanaume na mhanga mkubwa wa msumivu ya mapenzi ni mwanaume.Mara kadhaa nimesikia visa vya wanaume kujinyonga,kujipiga risasi au kuua wengine kwa wivu wa kimapenzi,hii inathibitisha wanaume ndo wenye kupenda.
Wanawake hawajawahi kupenda isipokuwa ni opportunist na wanatafuta buffer zone tu,so huwa wanapretend na kujiweka upande wa kuonewa huruma,thus why mtaani kuna vichaa wengi wanaume kuliko wanawake sababu ziko nyingi lakini mojawapo ni ya mahusiano.Hata kwenye biblia imesemwa wanaume wawapende wanawake,kwenye ndoa na harusi nyuso na vigeregere vya shangwe hutoka upande wa mwanamke maana wanakuwa wametua mzigo na kulamba bingo,wamepata mtumwa.
So wanaume wenzangu msiwawekee dhamana na kuweka rehani maisha yenu kwa kuhangaika na wanawake,mkifuata kelele zao za maigizo mtakujaishia kujitundika,tulionywa tuishi nao kwa akili,katikati yao kuna shetani ila mkijifanya mnajua kuwapenda endeleeni,siku akipata greener pastures anasepea huko.Ni hayo tu