Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

Hawks

Member
Feb 26, 2018
12
4
Habari za sa izi ndugu zangu,

Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.

Kiufupi mimi ni kijana mwenye miaka 31 nimeoa na mtoto mmoja wa kiume, mimi kuna mambo fulani nahitaji msaada wenu nimeowa miaka mi 3 iliopita na mnamo mwaka jana 2017 nimebahatika kupata mtoto wa kiume, ilijulikana kwamba mimi sipo inchini toka 2012 nimemuoa mchumba wangu tulikua nae kitambo kwenye mapenzi kanivumilia sana hadi nikamuoa.

Kiufupi baada ya mke wangu kujifungua nilijulisha familia yangu na pia akawa tumia mtoto ila comment zikawa kibao kwa mtoto ila nikajitahidi kuzizima kwa namna moja ama nyingine baadae hapo ilibidi mke wangu awe kama mwenye kukasirikia, ndugu zangu kutokana na comment zilizokua zinatoka kwa ndugu zangu ila nimejitahidi sana kuzizima mambo yakaisha.

Juzi juzi nikiwa naongea na mama yangu mzazi kwa simu aligusia ile ile topic na ikawa haijamridhisha mke wangu kabisa mpaka sasa navoongea mke wangu kanikasirikia, kamkasirikia mama yangu, kakasirikia my whole familly kwa madai kwamba hapendwi kwenye familia yangu so nahitaji mawazo yenu sana kwa wale wahenga na uzoefu wa mambo ya ndoa.

Ahsanteni!
 
Kama sijakuelewa hiv,labda ungekua muwaz nn haswa tatizo maana nikisoma naona tu umeandika andika kwamba tetes mara umezizima,mara ukaongea tena na mama,mara akakasirika mara whole family imekasirika ss tatzo haswa ni lipi?
In brief:nikwamba nilipo pata mtoto kulikuweko kshfa flani zikitoka kwa famia yang ila mimi nikua nacukulia kama utan flan ila wife alikua yupo serious nazo kabsa soo nikajthd kuwakomesha kabsa zikawa zimeisha ila juzi nipo kua naongea na mama yqng mzaz ilibd mama ka gusia ile topic yq kashfa bas wife akawa amekasirika yan had sasa ameapa kuto kuongea na yyt kweny familia yang kwa madai kwamba mtoto wak hapendwi mana ak na yy pia hapendw kweny familia !
 
Ungesema wanamkasirikia mtoto kivipi??kwann hawampendi ?? .

Yaaan wanahisi sio wakwako ??.

Ofcourse hamna mzazi asojua damu yake ,piga ua galagaza .

Muhimu , embu ambatana na mkeo na mwanao kwenu nenda mkasot out izo tofauti , alafu ni ujinga wa hali yajuu ndugu zako tena wazazi wako waijue familia yako kwa picha .

Mpeleke mtoto nyumban , abebwe na bibi nababu yake ...

Sema hongera sana , maana unampenda mkeo alafu hujal nn wanachosema juu ya mwanao ,wee unachojua niwako naatabaki kua ivo !!!

Karibu JF , mtafute mtu anaitwa Joseverest ndio Mshaur wakesi zilizoshindikana.
 
In brief:nikwamba nilipo pata mtoto kulikuweko kshfa flani zikitoka kwa famia yang ila mimi nikua nacukulia kama utan flan ila wife alikua yupo serious nazo kabsa soo nikajthd kuwakomesha kabsa zikawa zimeisha ila juzi nipo kua naongea na mama yqng mzaz ilibd mama ka gusia ile topic yq kashfa bas wife akawa amekasirika yan had sasa ameapa kuto kuongea na yyt kweny familia yang kwa madai kwamba mtoto wak hapendwi mana ak na yy pia hapendw kweny familia !
Tunaitaka hyo kashfa mkuu!! Au huyo mtt anamuonekano tofauti na familia yenu?

Funguka mkuu
 
In brief:nikwamba nilipo pata mtoto kulikuweko kshfa flani zikitoka kwa famia yang ila mimi nikua nacukulia kama utan flan ila wife alikua yupo serious nazo kabsa soo nikajthd kuwakomesha kabsa zikawa zimeisha ila juzi nipo kua naongea na mama yqng mzaz ilibd mama ka gusia ile topic yq kashfa bas wife akawa amekasirika yan had sasa ameapa kuto kuongea na yyt kweny familia yang kwa madai kwamba mtoto wak hapendwi mana ak na yy pia hapendw kweny familia !
Uzur wa Jamii forum we tiririka tu mkuu,kwamba kashfa ni hii na hii ili kuanza kukushauri tujue wap kwa kuanzia ina wezekana wanajua zaid au ww na mkeo mnajua zaid yao
 
Kweli kutokukaa nchini kumefanya Swahili yako imekuwa ngumu kueleweka. Hapo nilichoelewa tu ni kwamba haupo nchini, na umepata baby na aliyekuwa girlfriend wako. Mengine labda ungetulia, ukaandika vizuri kwa mikato na nukta ndio tutaelewa. Vinginevyo, hongera kwa kupata mtoto.
 
Uzur wa Jamii forum we tiririka tu mkuu,kwamba kashfa ni hii na hii ili kuanza kukushauri tujue wap kwa kuanzia ina wezekana wanajua zaid au ww na mkeo mnajua zaid yao
nlichomuelewa japo hajaweka wazi itakuwa huyo dada labda Hana muonekano mzuri so mtt aliezaliwa kafata kwa mama naona hcho ktu ndo wanacomplain na walkuwa wanategemea afanane kwao,, ipo ivo navyohisi japo hatak kuweka wazi
 
Tatizo unataka ushauri alafu unatuelezea matatizo yako kwa kufichaficha.. Una mtiririko mzuri wa kisa chako.. Toa duku duku lote ndio njia ya uponyaji wako
 
nilimuambia apotezey ila bado anacukulia serious ,,kashfa yenyew ni kwamba wanadai mtoto ana puwa likubwa eti sbb eti kwamba uko wetu hmna mwenye puwa likubwa ila naona ni sbb wanamuona kweny pica tuuu sbb mimi naona dogo ni handsome kama mimi baba ake!!so wife anaposkia kashfa hizo zinamuuma na pia zinauma ila nimejthd kuzizima !
 
We ni mwanaume inakupasa ujue ndugu zako wana hila! Hasa mama yako mzazi
Maneno yanauma wanaume nyie hamjui tu ila maneno yanauma mnoo na mkeo nae ni binaadam anaumia kwa vijembe na kashfa cha kukushauri mbembeleze mkeo na usi entertain tena upumbavu wa kashfa za nduguzo kwa mkeo huyo ni ubavu wako kwa hiyo lazima uheshimiwe
 
nilimuambia apotezey ila bado anacukulia serious ,,kashfa yenyew ni kwamba wanadai mtoto ana puwa likubwa eti sbb eti kwamba uko wetu hmna mwenye puwa likubwa ila naona ni sbb wanamuona kweny pica tuuu sbb mimi naona dogo ni handsome kama mimi baba ake!!so wife anaposkia kashfa hizo zinamuuma na pia zinauma ila nimejthd kuzizima !
Hahahahahauuu jna ndugu waswahili sana. Hadi mama yako anamsema mjukuu wake kuwa ana pua kubwa.... Aiseee kazi Ipo.
 
Habari za sa izi ndugu zangu,

Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.

Kiufupi mimi ni kijana mwenye miaka 31 nimeoa na mtoto mmoja wa kiume, mimi kuna mambo fulani nahitaji msaada wenu nimeowa miaka mi 3 iliopita na mnamo mwaka jana 2017 nimebahatika kupata mtoto wa kiume, ilijulikana kwamba mimi sipo inchini toka 2012 nimemuoa mchumba wangu tulikua nae kitambo kwenye mapenzi kanivumilia sana hadi nikamuoa.

Kiufupi baada ya mke wangu kujifungua nilijulisha familia yangu na pia akawa tumia mtoto ila comment zikawa kibao kwa mtoto ila nikajitahidi kuzizima kwa namna moja ama nyingine baadae hapo ilibidi mke wangu awe kama mwenye kukasirikia, ndugu zangu kutokana na comment zilizokua zinatoka kwa ndugu zangu ila nimejitahidi sana kuzizima mambo yakaisha.

Juzi juzi nikiwa naongea na mama yangu mzazi kwa simu aligusia ile ile topic na ikawa haijamridhisha mke wangu kabisa mpaka sasa navoongea mke wangu kanikasirikia, kamkasirikia mama yangu, kakasirikia my whole familly kwa madai kwamba hapendwi kwenye familia yangu so nahitaji mawazo yenu sana kwa wale wahenga na uzoefu wa mambo ya ndoa.

Ahsanteni!
You have a divine duty to protect your wife against anybody, hata kama ni mzazi wako, Biblia inasrma ndoa na iheshimiwe na watu wote. .. Ni hilo tu.

Vv
 
we nawe utakua una kkifua..mambo kama hayo yamefikaje kwa mkeo?
kama umeongea na mzazi wako full stop..nae ataongea nao full stop..mambo ya utani na wakwe hakunaga hata.
 
Kama sijakuelewa hiv,labda ungekua muwaz nn haswa tatizo maana nikisoma naona tu umeandika andika kwamba tetes mara umezizima,mara ukaongea tena na mama,mara akakasirika mara whole family imekasirika ss tatzo haswa ni lipi?
Maelezo mazuri toka kwa mgonjwa kwenda kwa daktari humsaidia mgonjwa kupata tiba sahihi, kuficha kiini cha tatizo ni kuchagua kubaki na tatizo.
 
Back
Top Bottom