Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,512
- 146,019
Nimetoka kuulizwa muda si mrefu hilo swali na mdada/ mmama wa Kimalawi.
Nilikuwa nimeenda kula lanchi sehemu ndo nikakutana naye huko.
Katika kupiga naye stori akaniuliza ninapotoka ndo nikamwambia Tanzania.
Akanikumbusha mzozo uliokuwepo kati ya Tanzania na Malawi kuhusu lile ziwa.
Sasa sikumbuki mazungumzo yalitokaje huko hadi yakaenda kwenye kuulizana kutafutiana girlfriend!
Hii si mara ya kwanza mtu kujitolea kupendekeza kunitafutia girlfriend.
Hivi mtu unawezaje kumtafutia mtu mwingine girlfriend!? Wewe ni matchmaker au?
Sijui kaniona mimi ni domo zege au pengine alikuwa anajipigia chapuo mwenyewe aone kama atapata zali la mentali......
I don’t know. Y’all tell me.....