Hivi kwanini wanawake hawapendi kudate na wanaume wafupi?

rev geo pet

Senior Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
115
Reaction score
63
Wakuu,

Naomba kujua kwanini sisi wanaume wafupi tunabaguliwa sana na wanawake hawa, mwanamke kila kitu nampatia lakini bado haliziki tuwape nini nyie wanawake jamani, wanawake naombeni ushauri mpaka
sasahivi nimeachwa na wanawake watano.
 
Wakuu naomba kujua kwanini sie wanaume wafupi tunabaguliwa sana na wanawake hawa.??mwanamke kila kitu nampatia lakini bado haliziki tuwape nini nyie wanawake jaman,wanawake naombeni ushauri mpaka
Sashivi nimeachwa na wanawake watanano...
Kwa sababu wanapenda kudate na wanaume warefu,

Pole kwa comment zitakazokuja lazima zitahusu le mutuz
 
Wakuu naomba kujua kwanini sie wanaume wafupi tunabaguliwa sana na wanawake hawa.??mwanamke kila kitu nampatia lakini bado haliziki tuwape nini nyie wanawake jaman,wanawake naombeni ushauri mpaka
Sashivi nimeachwa na wanawake watanano...
Tatizo mnajifanyaga sana watata afu wabishi much know kumbe hamna lolote....
Afu mnakuaga na wivu sana ani ukiona demu wako anaongea na jamaa mrefu basi unaanzisha vurugu
 
Wakuu,

Naomba kujua kwanini sisi wanaume wafupi tunabaguliwa sana na wanawake hawa, mwanamke kila kitu nampatia lakini bado haliziki tuwape nini nyie wanawake jamani, wanawake naombeni ushauri mpaka
sasahivi nimeachwa na wanawake watano.

Hivi Mtangazaji Msoma Magazeti wa Clouds tv 360 Samweli Nathaniel Sasali a.k.a Emolo hayupo humu atupe mrejesho?
 
Back
Top Bottom