Kuna maswali 3 nimeletewa na wadahu humu humu JF ningependa tushihirikiane kuchangamsha ubongo:
Maswali haya ni kama yafuatayo;
1. Mwanaume gani kati ya hawa wawili hauwezi kumsahau maishani...
Je ni kitu (vitu) gani ungependa ki(vi)badilike kwa mpenzi wako?
Wakati nipo hospitali namwuguza mpenzi wangu, wakaja watu kuona wagonjwa wengine ambao tulikuwa kwenye wodi moja
katika ongea...
Napenda kuwashauri vijana wote wa kiume kwamba,
mnapochagua mpenzi yeyote kulingana na umbo naombeni mzingatie yafuatayo:
1. Msifuate kiki za mtaani,
2. Fanya maamuzi kutokana na roho inapenda...
Baadhi ya vijitabia vifuatavyo vipo kwa wanawake ambao siyo waaminifu katika ndoa zao. Waswahili wanasema " usipokuwa mwaminifu kwa mambo madogo hata makubwa hutaweza"
Wake wenye michepuko...
Week 3 zilizopita nikiwa Tz nikaenda kulala uswahilini msibani doh nilikoma, baada ya msiba kuisha watu wakaondoka tanga limevunjwa tukabakia ndugu wa mwisho mwisho kesho tusepe.
Usiku tumelala...
Wanawake ni watu wa ajabu sana
tunajishaua na kupaka ma makeup na kuvaa manguo ya thamani ya kupendeza na wengine kuchomekea skintight wapate ma wowowo masaloon ya bei ghali kusuka nyele za bei...
Yaani boxer matatizo chini hajanyoa, eti anipate mimi thubutu, nilimuacha solemba kama naenda chooni, nikamblock, sijui dude lake alililazaje maana lilivyokuwa limeamshwa.
Nyoeni pia wanaume...
Hellow wana jamii F
Poleni kwa stress za maisha,
Direct to the topic ni kuwa,
Juzi tumesikia kijana kutoka kenya amekutwa akifanya mapenzi na ng'ombe na alipohojiwa alitoa sababu kuwa anaogopa...
Leo nimekaa Club Legends na KIPUSA mmoja best yangu sana miaka 20 sasa... tunapiga stori mambo kibao akaanza kunisifia uongo na ukweli oh penny! unajua wewe una akili nyingi sana tangu shuleni...
Suppose wewe ni kijana wakiume in your 28-30s, kwenu mmezaliwa wawili tu, you and your sister (first born). Miaka yote you've been trying to prove people wrong kwamba you're a man of...
Dakika za mwisho kabisa za shughuli, kabla kila mtu hajachukua njia yake.
Mama aliniita pembeni na kuniambia,"najua umeshaambiwa mengi sana mwanangu, naomba uyazingatie na haya nitayokwambia pia...
Kuna dalili fulani naanza kuziona Kwangu na zingine kwa Washikaji zangu kama Wawili Watatu hivi hivyo nangojea kwa hamu sana majibu yenu ili kusudi niweze kuzilinganisha na zangu halafu niweze...
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mwanamke/msichana wa sifa zifuatazo:-
>Awe kabila lolote kwani kwangu hiki sio kigezo (no one decided to be in any of the tribe available)
>Rangi pia yoyote...
Declaration of interest: Mimi 'natamani sana' wanawake wenye chura lakini mke wangu mtarajiwa hana chura na ninapenda sana.
Wakuu,
Nipo kwenye semina ya ndoa ambapo kwa Dar nzima dhehebu letu...
Namna mojawapo ya wewe kuwa mwanamke bora na mwenye busara ni kuwa na uwezo wa kujua na kutambua mwanaume sahihi na kisha kum-keep! Wanawake wengi wanafunga na kumuomba Mungu awape mume bora...
Samahan naomba nimwashauri wadogozangu ambao hamjaolewa humu
Najua nimesema msitafute sana ma handsome na uzazi nimeshamaliza na sipo hapa kumsema mtoto wa mtu
Lakini napata shida sana na vijana...
Habari za asubuhi.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Mimi ni mwanaume na miaka 23, mweupe, mkristo, elimu bado nipo chuo, mchaga nadhani inatosha japo kidogo kujitambulisha.
Mimi ni...
MTENDWA wa usaliti hupata maumivu makali, wakati huohuo mwanzoni msaliti hukenua kwa kudhani ameshinda. Maisha hayapo hivyo!
Anayesalitiwa humwaga machozi kwa kilio cha mahangaiko ya moyo...
If there’s one thing that I can promise you it’s that without approaching women, you won’t meet them.
There are countless men who walk around with the fear of talking to women they don’t know...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.