Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Kwa watoto wakali wa siku hizi unaanzaje kuwa mwanaume bila kucheat, unakuta una msichana mkali lakini uko barabarani unakutana na msichana mkali kuzidi msichana wako.
Full kujibebisha, hivyo vinguo wanavyovaa sasa, nyuma kishundu siyo haba unaanzaje kumuacha msichana kama huyu.
Kila leo watoto wakali wanazidi kuzaliwa mpaka unajiuliza hivi kule kwenye uumbaji wanatumia update ya version ngapi maana hivyo vyuma vinavyokuja siyo mchezo.
Unaanzaje kuwa mwanaume bila kucheat kwa wakati huu?