Kwa namna hii ananipenda kweli

kid ink tz

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
307
320
Kuna msichana tunakaa naye mtaa mmoja alisema ananipenda na kila nikienda mtaan kwao huwa ananishobokea kusema ananipenda. Nikaamua kuchukua namba yake na kumuuliza kweli unanipenda akasema ee

But kila nikimtumia text hajibu nikimtumia Vocha ili ajibu text but anakaa kimya tuu je kweli uyu mwanamke ananipenda wakat tukikutana anasema huwa ananipenda

Nipe ushauri nimuache au
 
kid ink tz mkuu huyo atakuwa na upendo wa dhati kwako lakin hapo wewe ndiyo tatizo kuu, hauko seriously muoga unamuogopa huyo demu na demu anakuchukulia Poa.

Nakushauri kama huwa unaenda na kukutana nae, nenda kamface na umwambie kuwa upo seriously na unampenda kweli na umkazie umwambie kama unanipenda niambie na kama hunipendi sema nishike hamsini zangu.

Vinginevyo utatuma vocha na hizo vocha wanapigiwa wanaomla papuchi wala hupigiwi wewe na wala hujibiwi sms.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom