Nimejiridhisha: Jela ndio Kipimo cha kweli 100% cha uaminifu ktk ndoa

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Ukitaka kujua kama kweli mwanamke uliyemuoa, (haijalishi umeshazaa naye au la) ni mwaminifu na anakupenda kweli kweli ,basi ni kupitia jela, ;

Siku ikitokea umehukumiwa kifungo cha miaka kadhaa gerezani let's say 4-5 yrs, (achilia mbali miaka 27 kama Mandela) halafu ukatoka gerezani bila ya mke wako kukuta kakusaliti, basi jua ya kuwa ulioa malaika na si binadamu.

Nasema hivyo kwa sababu sijawahi kusikia ndoa iliyopitia kash kash hizo tajwa hapo juu ikabaki salama bila ya usaliti. Labda kama kuna aliyewahi kushuhudia kinyume na hapo atujuze.
 
kuhusu kutosalitiwa wakati ukiwa jela hilo sahau""" tatizo ni namna ambayo msaliti anakuwa anaitumia ktika kufanya huo usaliti """

(1) kuna mwingine anajisahau kisha analeta mabwana wake hapo hapo nyumbani kwako wanamla nakusepa ""

(2) kuna mwingine anakukimbia kabisaaa ukitoka jela unakuta huna chako""

(3) kuna mwingine ana kwenda. kuliwa kimya kimya "" mpka pale kifungo chako kitakapo kwisha then ukirejea mnaendelea na maisha

(4) ...kuna mwingine ana amua kujiachia analiwa nje kinoma noma kiasi kwamba hata ukiwa bado upo huko huko jela ndugu wanakuwa wanakuletea taarifa zake ...hatari sana aisee"""
 
Mkuu mimi nilimuona mke wa aveva yule rais wa simba nikajisemea moyoni ni haki yaké kulàzwa Muhimbili maana sio kwa tako lile lool
 
kuhusu kutosalitiwa wakati ukiwa jela hilo sahau""" tatizo ni namna ambayo msaliti anakuwa anaitumia ktika kufanya huo usaliti """

(1) kuna mwingine anajisahau kisha analeta mabwana wake hapo hapo nyumbani kwako wanamla nakusepa ""

(2) kuna mwingine anakukimbia kabisaaa ukitoka jela unakuta huna chako""

(3) kuna mwingine ana kwenda. kuliwa kimya kimya "" mpka pale kifungo chako kitakapo kwisha then ukirejea mnaendelea na maisha

(4) ...kuna mwingine ana amua kujiachia analiwa nje kinoma noma kiasi kwamba hata ukiwa bado upo huko huko jela ndugu wanakuwa wanakuletea taarifa zake ...hatari sana aisee"""
Mkuu umenena vema. Mpaka sasa bado wazo la kuoa linaendelea kufutika ktk akili yangu cz kama mtu alipa atakuwa mwaminifu ktk shida na raha halafu ndio mambo yenyewe haya…… ,,
 
hahaha ukitaka kuishi vyema na mwanamke jitahidi mnooo kuepuka kuwa na mawazo hasi dhidi yake ..mfano akichelewa kupokea simu "" usihisi kuwa anajisikia au yupo na jamaa anamla "" hisi kuwa simu yake itakuwa kwenye charge "" akichelewa kurudi usihisi kuwa amepitia kwa mchepuko "" hisi kuwa amekwama kwenye jam"" au atakuwa na matatizo fulani yamempata ghafla""
.....ukiwa na mawazo kama hayo utaweza kuishi katika mahusiano """ watu wengi wanao oa siku hzi wanaoa kwakuwa wanahitaji kuishi ndani ya family...nasio kwamba wanahitaji ndoa zao siziwe na dosari"" laiti kama ungekuwa unayajua yanayojiri ndani ya ndoa usingetamani hata kulisikia neno lenyewe linaloitwa NDOA
 
Sasa miaka 4 au 5 unataka mwanamke wa watu akae tuuuuuuu... Akusubiri uje akupe si utakuta hiyo papuchi ina utando wa bui bui na mende kibao, acha kutesa wanawake nao ni binadamu, wacha wapigwe nje waburudike....
 
Mkuu huhitaji hata kwenda jela. Mchepukaji atachepuka na wewe uko hapo hapo na wala hutagundua kitu.

Ukitaka kujua kama kweli mwanamke uliyemuoa, (haijalishi umeshazaa naye au la) ni mwaminifu na anakupenda kweli kweli ,basi ni kupitia jela, ;

Siku ikitokea umehukumiwa kifungo cha miaka kadhaa gerezani let's say 4-5 yrs, (achilia mbali miaka 27 kama Mandela) halafu ukatoka gerezani bila ya mke wako kukuta kakusaliti, basi jua ya kuwa ulioa malaika na si binadamu.

Nasema hivyo kwa sababu sijawahi kusikia ndoa iliyopitia kash kash hizo tajwa hapo juu ikabaki salama bila ya usaliti. Labda kama kuna aliyewahi kushuhudia kinyume na hapo atujuze.
 
hahaha ukitaka kuishi vyema na mwanamke jitahidi mnooo kuepuka kuwa na mawazo hasi zidi yake ..mfano akichelewa kupokea simu "" usihisi kuwa anajisikia au yupo na jamaa anamla "" hisi kuwa simu yake itakuwa kwenye charge "" akichelewa kurudi usihisi kuwa amepitia kwa mchepuko "" hisi kuwa amekwama kwenye jam"" au atakuwa na matatizo fulani yamempata ghafla""
.....ukiwa na mawazo kama hayo utaweza kuishi katika mahusiano """ watu wengi wanao oa siku hzi wanaoa kwakuwa wanahitaji kuishi ndani ya family...nasio kwamba wanahitaji ndoa zao siziwe na dosari"" laiti kama ungekuwa unayajua yanayojiri ndani ya ndoa usingetamani hata kulisikia neno lenyewe linaloitwa NDOA
Kweli, umenena.
 
kuhusu kutosalitiwa wakati ukiwa jela hilo sahau""" tatizo ni namna ambayo msaliti anakuwa anaitumia ktika kufanya huo usaliti """

(1) kuna mwingine anajisahau kisha analeta mabwana wake hapo hapo nyumbani kwako wanamla nakusepa ""

(2) kuna mwingine anakukimbia kabisaaa ukitoka jela unakuta huna chako""

(3) kuna mwingine ana kwenda. kuliwa kimya kimya "" mpka pale kifungo chako kitakapo kwisha then ukirejea mnaendelea na maisha

(4) ...kuna mwingine ana amua kujiachia analiwa nje kinoma noma kiasi kwamba hata ukiwa bado upo huko huko jela ndugu wanakuwa wanakuletea taarifa zake ...hatari sana aisee"""
Unaweza kuta na watoto wamezaliwa kabisa kazi yako kulea tu
 
Yani wengi unakuta kashaolewa mm nimeshuhudia hii kwa jamaa alianza upya
 
Ukitaka kujua kama kweli mwanamke uliyemuoa, (haijalishi umeshazaa naye au la) ni mwaminifu na anakupenda kweli kweli ,basi ni kupitia jela, ;

Siku ikitokea umehukumiwa kifungo cha miaka kadhaa gerezani let's say 4-5 yrs, (achilia mbali miaka 27 kama Mandela) halafu ukatoka gerezani bila ya mke wako kukuta kakusaliti, basi jua ya kuwa ulioa malaika na si binadamu.

Nasema hivyo kwa sababu sijawahi kusikia ndoa iliyopitia kash kash hizo tajwa hapo juu ikabaki salama bila ya usaliti. Labda kama kuna aliyewahi kushuhudia kinyume na hapo atujuze.

Sio kitu rahisi na wala sio kipimo cha Upendo!
 
Back
Top Bottom