Punguza marafiki wa aina hii

Yangadamu

Senior Member
Mar 23, 2018
164
107
Punguza marafki ambao ukimwambia nataka kufanya hiki, anakujibu utaweza?

Punguza marafki ambao kutwa anataka mchafue meza bar

Punguza marafki ambao kila wiki ni ngoma

Punguza marafki ambao nimeongea nae kitu mkiwa wawil mwisho wa siku unalikuta sehem nyingine.

Punguza marafki ambao ambao wako right kila siku wenyewe hawataki kuambiwa umekosea,

Punguza marafki akija kwako yey urafki unahamia kwa mmeo alie kaa sebulen ikiwa ww kakuacha jikon.

Punguza marafki ambae anakuwa na urafki na adui yako wa karbu zaid.

Punguza marafki wa kwenye raha tyu ukiwa na shida unajikuta peke yako.

Punguza marafki kila ukimpigia cm na yey utaskia yaan nilitaka kukupigia sasa hv, yaan kila ukimpigia utaskia hivyo hivyo tyu.

PUNGUZA MIZIGO ISIYO NA UMUHIMU. tag raki yako mwambie punguza mizigo.

Mm naanza na nyie Niwapendao

# Ngassafamiliy

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom