Tupia chochote usichopenda katika uzi huu

Tupia chochote usichopenda katika uzi huu

jomasi0002

Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
45
Reaction score
24
Wanajamii forum tupieni hapa jambo lolote usilo lipenda kutoka kwa mpenzi,rafiki ndugu,jamaa nk.
 
Sipend shule hata kidogo nawaza sana hapa week ijayo tena nieende shule

Sitaki shule kabisa
 
sipendi mtu anayejifanya kwao wanap esa kumbe masikini wakutupwa
 
Umbea, fitina, majungu, uchonganishi na uongo, kwa hapa mjini na nyumba hizi za kupanga ukiwa na mke wa namna hii jiandae kuhesabu nyumba za kupanga na kuhamahama.
 
Mtu kunichukulia easy kisa nipo na 3.8 feet
 
Akikomenti mzigua 90 na jolie jolie.... Nitawaambia nini sipendi na nini napenda. [emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji91] [emoji91]
 
Sipendi text ikija imeandikwa *Nkuombe kitu* au *Nna shida*
 
Viongozi wapuinzani walivyoshindwa kuwa wapinzani... kisa matumbo yao kwanza.. wanalitia aibu taifa letu.
 
Back
Top Bottom