Jack HD
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 851
- 1,170
Nawasalimu nyoote!!
Bila kupoteza muda naomba nianze kutoa experience mbili ambazo baada ya kuzipitia nikasema wacha nishare na wenzangu ili tuendelee kuimarisha mahusiano yetu na wenza wetu
Case 01:
Kuna huyu mdada ambaye tulishawahidate kipindi cha nyuma almost a year nyuma. ikatokea siku akawa amenitafuta na akaniambia si jambo la kuongea kwenye simu na angependa tukutane. nilisisitiza sana umuhimu wa simu kutengenezwa ili tu tumalize maongezi kwenye simu, lakini mwenzangu alisisitiza tuonane uso kwa uso. Nilipoona mbishi sana nikaamua kumkubalia tu ili mradi tufike mwisho wa maongezi. Kwakuwa nilikuwa busy na shughuli za kunitafutia kipato hivyo sikuweza kuweka maanani ile appointment yetu siku ilifika na kuanza kunilaumu kwa kutoheshimu appointment, Tulikubaliana appointment nyingine mara kadhaa lakini zote zilivunjika kwa sababu nilikuwa na mambo muhimu na ya msingi zaidi ya kufanya, then nilihisi tu huyu alihitaji tuanze masuala ya mahusiano tena wakati mwenzie nimeshamoove on kitaambo.
Siku nimepita karibu na maeneo aliyokuwa akiishi nikamkumbuka na sikuwa na ratiba nyingine yoyote. Nikampigia simu tukapanga tukutane best bites ambapo si mbali na alipokuwa akiishi. Nilikaa almost 20Mins ndipo alipotokea. I was very surprised nilivyomuona. Guess what!! She was pregnant!!
Nilipigwa na bumbuwazi, huku maswali mengi yakipita kwenye kichwa changu bila majibu. Is expecting my baby? Nikaanza kujumlisha na kutoa sarakasi tulizopiga kipindi cha nyuma kama inaweza ikawa yangu. Data ziligoma, ila nakumbuka kuna kipindi alishika mimba na kudai kuwa we're not ready for a family na aliabort, but sikuwepo hospital kushuhudia hili zoezi. Sio siri nilichanganyikiwa na kutaka kusikia kutoka kwake. niliwaza yoote haya wakati yeye akitembea kutokea mlangoni kunifuata pale nilipoketi nikinywa juice yangu.
Baada ya kukaa ndipo hasa nilipoanza kumhoji. Thanks GOD haikuwa yangu, tumbo lilishafikia miezi Nane. Baada ya kuongea mengi na kumuongelea jamaa ambaye wakati huo alikuwa mwanza kikazi ilibidi mdada aanze kunieleza sasa nia haswa ya kuniita. "Nina chini ya mwezi sasa kabla sijakwenda kujifungua na mume yuko mbali, sio siri naogopa sana kisu (operation) sihitaji kufanyiwa operation na nimekwenda hospitali nimeambiwa nijitahidi kupanua njia kwa kufanya tendo atleast mara tatu kwa wiki, tafadhali naomba unisaidie"
Shetani anakuja kwenye sura nyingi na kwa majaribu mbalimbali. Ila nategemea kupitia hiki kisa umejifunza kitu. Take the point and leave the rest
Case 02 will follow
Nawapenda!!