Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,709
Baada ya kuchoka usingle mother nimeona is not funny nahitaji mume jamani.
08/09 natimiza 29, kimo f 5.5 primary teacher, mtoto mmoja, am black beauty, mcheshi na vurugu nyinginyingi ha ha haaa!.
Ninayemwitaji awe mwajiriwa, aliyejiajiri au mfanyabiashara na mwenye uhitaji wa kuoa kweli. Umri miaka 29, 40 azidi futi 5.5, ngozi yeyote, akiwa anaishi Mbeya, Iringa, Morogoro, Dsm itakuwa kheri coz huko nauli naziwezea kipindi hiki cha Magu.
Nina mtoto so ukipenda ua na boga lake mpendwa.