Tahadhari ukiona mwanamke anakuomba hela sana ujue kuna mwanaume anampa

TZ bby

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
229
139
Nipo humu na mwaka sijawahi kuandika chochote zaidi ya leo kutokana na kichwa habari lakin ndo ivo wanaume kuweni makini
 
Wanawake wanamatumizi makubwa sana...

Mengine hata siyo ya lazima...

Na kitu wanachopendelea zaidi ni shopping, huko ndiyo pesa yao huishia...

Ila mwanamke wa kumpa mwanaume pesa kama wapo ni wachache sana...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom