Habari ya jumaa wapendwa!
Baada ya kutoka zangu jogging na rafiki wangu wa faida, takaanza kutia story mbili tatu za hapa na pale,, huku tunatembea zetu mdogomdogo kuelekea home,, ghafla...
Hii ni tahadhali tu kwa wapenzi awe ni girlfriend au boyfriend mke au mume kuwa mbali na mwenzake kwa maana ya mmoja yupo Mkoa A na mwingine Mkoa B eti mnakaa mwezi au miezi kadhaa ndio mnakutana...
Hapo vip!!
Kutoka na hali Ya maisha Ya ndoa Ya nyakati hizi,kuna umuhimu sana ikapelekwa bungeni mswada wa kupitisha ndoa Ya mkataba kwa sababau zifuatazo :
Kwanza katika research niliofanya...
Habari zenu wana JamiiForums,
Kitengo cha LoveConnect? Nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni Bachelor degree, mimeajiriwa Serikalini.
Natafuta mke mwenye vigezo vifuatavyo
Awe na umri wa miaka 26...
Wakuu pole na majukumu,
Kuna best yangu amenipa story nimeona nishee na ninyi.
Ni kuwa huyo jamaa yangu alikuwa na msichana na akamuahidi kumpa kiasi kidogo cha fedha aenjoy weekend lakini...
Wale waliofanya utafiti ya kwamba macho yanaongea wapo sahihi asilimia mia moja,kwa Mara ya kwanza kabisa nilishawahi kumwangalia mwanamke bila kupepesa macho(unamwangalia kimahaba zaidi,sio kama...
Wadada wenye mashepu ya magunia ya sufi na sura wa mbuzi wakichokozwa na wanaume kwa lengo la kupita ama kupumzika nao wanaganda ili waolewe mpaka wanakera.
Sijui ni uchache wa watia nia...
Ni kawaida marafiki kuitilafiana na wakati mwingine kutoleana maneno mabaya/matusi. Hali hii ya ku-udhiana uwakumba pia wapenzi na/au mtu na m-me/ke wake wakajikuta mmoja wao akimtukana mwenzake...
Picha linaanza nimetokea kumpenda mdada mmoja hivi.Kiukweli ni mrembo haswa kuanzia sura,kifua hadi kwenye nyonga.Nikatoa maneno yangu nikazungushwaaa lakini mwisho wa siku nikapewa nafasi kama...
Mimi ni mgeni humu, leo nimeona nijiunge nipate ushauri wenu wanaJF,
Nimeamua kujiunga baada ya kuambiwa na rafiki yangu kuwa alipata ushauri mzuri sana na umemsaidia kwa namna moja au nyingine...
Usiyafunue sana mahusiano yako na huyo mpenzi wako kama hamjafika kwenye hatua nzuri ya kufunga ndoa, yaani;
1.Amejitambulisha kwenu.
2.Amekutolea mahari.
3.Harusi inajulikana ni lini...
PART 1 .
Kila siku nilikua najiuliza nguo zangu za ndani zilikua zinaenda wapi, nilimuuliza mume wangu lakini hakua na jibu, yeye pekee ndiyo alikua anaingia chumbani kwetu, Dada wa kazi ambaye...
Niko na mpenzi ambaye tumedumu naye kwa miaka mi 3, mahusiano yetu huwa tunaachana na kurudiana, huyu msichana kiukweli ananipenda sana ila mimi simkubali sana kihivyo, huwa nampendea msambwanda...
Habarini ya leo wana JamiiForums wenzangu,
Mimi ni kijana, niliekuwa na mtazamo wa kuwa na mtoto mmoja tu na tulikubaliana na mwenzangu tumeweza kumaintain hii hali kwa miaka tisa lakini juzi mke...
Ukizungumza na wasichana au wanawake ambao hawajaolewa, unapozungumzia suala la Ndoa, kwa bahati mbaya sana wengi vichwani mwao inajengeka taswira ya harusi.
Ukisema Ndoa yeye anawaza gauni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.