Hivi kwanini wanawake sikuhizi hamko soft?

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
Mi mwanamke mwenye mwili mgumu sinaga stimu naye, mwanamke inatakiwa ukimgusa kama unagusa nyama ya konokono yaani softi, ukigusa titi linabonyezeka (ila isiwe ndala tu), matiti mengine magumu kama magimbi, mikono iwe laini kama ya mtoto na kucha nzuri, sio mikono ka ya mgonga kokoto.

Mkiwa kwenye romance akichezea kifua kama anakuparua, kalio ukilitomasa gumu ka half cake, kalio linatakiwa liwe laini ukikatika minyama inachezacheza hadi raha, makalio mengine ni makubwa ila hayana stimu kwavile ni magumu mno, wanawake jitahidini kuwa soft basi.

Hivi hakuna dawa za kichina za kuwasaidia hawa dada zetu?
 
Mfanye wa kwako awe softi. Ni rahisi tuu.

Mpeleke akafanyiwe massage ya ngozi ( hapa wataalam watajazia nyama)

Mnunulie lotions za kusoftisha ngozi.

Mhimize kufanya mazoez ya viungo kurekebisha umbile na kulainisha mwili.

Jitahiidi kumnunulia chakula bora.

Mwepushe na kazi ngumu ngumu za mikono.

Be problem solver, acha kulalamika lalamika
 
Screpa,
Mwanamke ni matunzo. Kubali kuumia ili umuweke soft. Hakuna linaloshindikana mzee baba.
Ukishapenda, timiza wajibu ila usifanye wajibu wa kukuumiza.

Dawa yake ni kumpiga zawadi za vipodozi tu, ila kama ni demu/mke wako.
Ila kama mmekutana tu njiani au ni yule wa siku moja tu, utabaki na maumivu wakati wa kutomasana.

Pole kama yamekukuta.
 
Chukua kinywaji naja kulipa mkuu
 
Usishangae mtoa mada hatoi huduma yoyote hata y kununua vilainishi kwa mwenzi wake, ila anataka ulaini wa ngozi...
 
Mfanye wa kwako awe softi. Ni rahisi tuu.

Mpeleke akafanyiwe massage ya ngozi ( hapa wataalam watajazia nyama)

Mnunulie lotions za kusoftisha ngozi.

Mhimize kufanya mazoez ya viungo kurekebisha umbile na kulainisha mwili.

Jitahiidi kumnunulia chakula bora.

Mwepushe na kazi ngumu ngumu za mikono.

Be problem solver, acha kulalamika lalamika
Nimekuelewa mno mkuu
 
Wanawake ili wawe laini wanatakiwa wapate vyakula vya mafuta laini (soluble fats/ LIPIDS). Matokeo mazuri na ya kudumu hupatikana pale msichana akipata LIPIDS tangu akiwa Mdogo, LIPIDS hupatikana kwenye mafuta ya NAZI kwa kula au kupaka kwenye NGOZI, mafuta ya mbogamboga (vegetable oils), mafuta ya SAMAKI na vyakula vya vitamin A,D,E na K. Kwa upande wa mazoezi mwanamke huwa soft akifanya zaidi mazoezi ya PILATES na YOGA (samahani Kiswahili vyake sijui )
 
Mzee mwenzangu unaoneka weye wa kula na kunawa mikono tuu,..kila kitu kizuri kimeundwa kwa gharama usione tuu vitu viko soft soft ukadhani viko hivyo tangu kuumbwa kwake,..

Halafu "bure ghali" siku zote.
 
Mnunulie mafuta ya nazi parachute original awe anapaka mwili mzima na pia awe anafanya scrub mwili mzima mara moja moja.
 
screpa hata huu msemo huujui maana yake???

USIONE VYAELEA UJUE VIMEUNDWA

Sasa wewe hata pesa ya lotion hutoi halafu unataka mkono laini.

Pesa ya saloon hutoi unataka mwanamke soft msafi

Mkuu hakuna maajabu kama hayo uyafikiriayo HUDUMIA ili upate

Tako laini

Hudumia ili upate titi laini

Hudumia ili upate soft hand

Toa pesa ili demu wako akatengeneze kucha

UNAAMBIWA MWANAKE MATUNZO TUNZA BABA ACHA LAWAMA
 
Back
Top Bottom