Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Hawa ni wengi sana japo hawafanyi shughuli hii kando kando ya barabara lakini inbox za wanaume zinafahamu, yaani mpaka mtu anaamua ku join chaputa maana wanaomba hadi kero. Ni hilo tu.
Ila wanaume nao washaanza hii tabia... Sijui wanaona tunafaidi sana?Mnatukomesha kwakweli
Tena kutoa ni moyo wala si utajiri!Toa ndugu,
Toa ndugu,
Ulichonacho.