Ukiendelea na tamaa utaendelea kutelekezwa

Ukiendelea na tamaa utaendelea kutelekezwa

Gulio Blog

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,056
Reaction score
4,124
Kwanza nianze kuwapa pole kwa wanawake wote waliojitokeza kwenye sakata hili la wanawake waliotelekezwa na wanaume wao huwa inasikitisha kumuona mwanamke mitaani amebeba mtoto anafanya kazi ngumu hiyo yote kuweza kutimiza jukumu ambalo mwanaume alitakiwa kulifanya ili kulea familia
lengo la uzi huu kuhusu hawa wanawake wenye tamaa sijawagusa wanawake wote nakumbuka hapo nyuma kidogo kuna jamaa yangu mtaani alibahatika kupata mchumba jinsi nilivyokuwa nawaona mambo yalikuwa yanaelekea kwenye kuoana kabisa jamaa alikuwa anamaisha ya kawaida sio yakushindwa kumlea yule binti lakini ndio hivyo jamaa alitoswa wanawake mbele ya ndinga tena dem akapewa bata za miezi miwili mitatu mwisho wa siku mimba hiyo na mwanaume aliozaz nae nimume wa mtu jamaa hakumbuki hata senti tano ya mtoto mana demu uzuri wote kwisha maisha magumu ndio hivyo tena kaishia kujiuza ili atunze mtoto
kwahiyo nachotaka kusema wanawake acheni tamaa mwanaume akikwambia atakuoa anamalengo na wewe unamkataa unamuona mshamba akija huyu anaetanguliza bata ndo wamaana mpo selected sana mara huyu hajui kuvaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom