Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Wana Jf
Natoa wito kwa kina dada ambao wana ma boy friend kuwa wanapokuwa na matatizo ya ki afya ambayo ni confidential wawe wawazi kuwaeleza ili wasaidiane au isiwe tatizo kwa kipindi watakapokuwa wana date. imetokea dada zetu wachache wana tatizo la ki afya hivyo kuishia kutowaweka wazi, hasa tatizo ambalo linatokana na kutokuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa au akijaribu anapatwa na tatizo kubwa zaidi.
Mdada unampenda jamaa ila huna jinsi maana hata upande wako unahitaji akusukume kwenye matumizi au msaada mwingine sawa, ila lazima uwe mkweli ili mambo yaende. mdada anaweza akakwambia tendo sio priority kwangu, tendo sipendelei sana kiivyo, mimi sio mpenzi sana wa tendo la ndoa. mwanaume unaweza ukapigwa kalenda hadi unakata tamaa kumbe ugonjwa umechachamaa anasubiri apone vizuri ndio akupe. mmoja ana ule ugonjwa wa kile kinyama kutoka sehem za haja kubwa lakini hasemi yeye ni mkimya tu kikichachamaa ndo hivyo anamkwepa jamaa na jamaa akimpata basi hawezi kwa siku 2 hadi miezi au mwezi.
Ombi tukiwa wawazi itatusaidia sana kuimarisha mahusiano.