Where is jj?Aisee
Yupo she is backWhere is jj?
Huyu ni shabiki wa barca ana stress ndiyo kaja kufungua Uzi huku.[emoji23]Roma Cathoric 3-0 Barca
Huu ujinga ni wa kuupotezea tu.Duu sijui watu wanataka nini ukiwa kimya unaambiwa huna romantic sasa huwa kajiongeza ana
ambiwa asije akamuua bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee
Kama Kuna ukweli vile.mwanamke ukizidisha makeke kuliko mwanaume,atakuacha,maana siku zote mwanaume anapenda kuonekana mbabe,mfano me nimetosheka na bao 4, wewe ndo kwanza unaanza,maana yake nikikuoa utanikondesha bure