Ukiambiwa uoe mchawi, mwizi, mropokaji, malaya utamuoa nani kati ya hawa?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Ukitaka kuoa ukakutana na hawa pamoja na kwamba ni wazuri mno na warembo na shepu ndio hizo namba nane wowowo hiyo utamchukua yupi.

Wanaume naomba tuwe wakweli.

1. Mwanamke mchawi

2. Mwanamke mwizi

3. Mwanamke malaya

4. Mwanamke mropokaji na mwenye mdomo
 
Mwizi afathali maaba njia za kumuepuka na kumbana ni rahisi maana hato niibia mimi ila hao wengine wekambali na watoto. Mademu kibao waumezao majambaz ila wanaishi poa tu
 
Hakuna ndoa hapo bali kujitafutia majanga tu na stess za kutosha.

Ukitaka kuoa ukakutana na hawa pamoja na kwamba ni wazuri mno na warembo na shepu ndio hizo namba nane wowowo hiyooo utamchukua yupi wanaume naomba tuwe wakweli

1. MWANAMKE MCHAWI

2. MWANAMKE MWIZI

3. MWANAMKE MALAYA

4. MWANAMKE MROPOKAJI NA MWENYE MDOMO
 
Ndoa ni taasisi ya kwanza katk maisha,so ukiwa makini huwezi onana na wenye tabia hizo
 
Mleta thread kumbe haujajua maana ya ndoa kwa misingi ya dini zote...hapo hakuna mke kuna mchawi,mwizi,malaya na mropokaji so be care kamanda
 
Hamna kitu boss hapo
Maan hapo sawa na kumiliki mzinga wa nyuki ndani ya chumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom