Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijui ni tabia ya wanawake wa kitanza ia au ni wanawake wa kiafrika kwa ujumla. Wanawake hawataki kutaja umri wao kamili, labda uwe unamjua au umewahi kuona cheti chake cha kuzaliwa. Na hata...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Sio mimi bali mshikaji wangu. Iko hv: Jamaa yangu alioa. Akazaa naye watoto wawili, lakini amekuwa hatulii kwenye ndoa anahangaika sana na wanaume. Nadhani ni kwa sababu alimuoa akiwa mdogo sana...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Namtafuta mwanamke was kiislam awe anajua dini na awetayari m/ mungu akipenda tuwe mke na mume naishi dar
2 Reactions
1 Replies
894 Views
Habarini humu ndani, Kwa utafiti mdogo nilioufanya moja ya mambo yanayochangia wanaume wengi kuchepuka ni suala la wanawake wengi waliondani ya ndoa kutotoa unyumba inavyostahili. Unakuta...
8 Reactions
29 Replies
6K Views
akiivua atawaambia na atawapostia magoli?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aina za ndoa… 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Hello guys Ni thread ambazo zilinichekesha sana, 1) Huyu jamaa sikumbuki username yake, ila ningependa kumuita MZEE WA U-TURN, kwenye thread yake moja....alimkimbia mdada aliekuwa anamfukuzia...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Katika mahusiano wawili wakutanapo hukubaliana kuwa pamoja. Wakati huu wawili hawa huwa hawaambiwi kitu na hata umbea wa mitaani huwa haupenyi kwao kwa maana wameshibana. Mahusiano yao...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanaume wengi tunapenda sana mpira, na watu husema mpira wa kuangalia ndani peke yako hauna raha sasa hapa Tanzania bar nyingi siku hizi zinaonesha mpira muda mwingi tunajivinjari kuangalia huko...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Na hizo photoshoot zenu plus Make up mixer location basi mkishabinua hivyo vimakalio vyenu na kupost picha mbili tatu mnajiona kekii wenyewe. Sasa tu niwaambie hizo photoshoot zinawapamba bure...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nilikua ninampenzi wangu, dada mzuri wa kawaida kisura na mwili, lakini yeye alikua ndie mwanamke ambae nipo tayari kufanya lolote sababu ninampenda sana na yeye alikua anaonyesha...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Binafsi naamin sana katika aina hii ya urafik.. Opposite sex always urafik wake unakuwa sio wa kinafiki like me + ke.. Lakini katika harakati zangu kibongo bongo naona kama hatuwez hivi...
5 Reactions
29 Replies
6K Views
Kwanza mniwie radhi, najua hata humu ndani wapo watoto ambao mama zao ni michepuko au walipatikana kimichepuko. Naomba wanielewe sijawalenga wao, japo naelewa uzoefu wao unaweza kusaidia...
2 Reactions
78 Replies
5K Views
Vijana wa Bombardier wana shida sana!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ni mwanamama ambaye ameolewa na kuachika mara moja na sasa yupo ndani ya ndoa kwa miaka miwili na ushee,kwa mumewe wa kwanza kulikuwa hakuna hayo matatizo sasa ndio anaona mapenzi ni udhia na...
2 Reactions
140 Replies
15K Views
astaghafilulahi hii dunia ni laanakum kabisa. jana nimekutana na jamaa yangu wa kitambo shebby (shabani) huwa tunamwita shebby mchakataji, mzee wa michakato,mzee wa kukokotoa... maana huyu jamaa...
7 Reactions
26 Replies
6K Views
kwa lugha nyepesi sana. najua wengi ime wahikuwakuta na wengine bado haija wai kutokea kwao ila nataka kujua iwapo uli chukua hatua gani au kama bao je siku ikakukuta wewe haijalishi mna mda gani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jf... Inasemekana mtu akifika miaka flan hakui tena yan mfano kurefuka je na kwe uume nako kuna stop kukua au kula hakuna kustop!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mpenzi wangu ana wivu sana, ana gubu sana yani jambo dogo lazima aongee. Wakati mwingine anahisihisi tu mambo nilishangaa aliponiuliza huyo malaya wako ni mzuri kuliko mimi? Au anajua kufanya...
3 Reactions
82 Replies
8K Views
Ila kuna vitu vipo natural sana, yaani unakuta kitoto cha kike kina miaka 10 lakini unakuta kishajua ni sehemu ipi ya mwili wake ambayo huweza kumpa mihangaiko ya mwili mwanaume atakapoiona. Sasa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom