Tamati
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,084
- 1,960
Mimi ni mwana CHAPUTA kindaki ndaki ambapo nabusti individual mechi kila ninapojisikia kufanya hivyo.
Pia nipo kwenye mahusiano mazito sana na Girlfriend(Mpenzi wangu), ninampenda, ananipenda, tunapendana kwa dhati.
Katika mahusiano yetu ambayo ni mazito sana kwa sasa tumekubaliana tujiepushe sana na kitendo cha kucheat maana kitahatarisha mahusiano yetu kwenda mrama ikibainika hilo jambo likitokea bila kujali sababu iliyopelekea kutokea.
Sasa nimekumbwa na mtihani hapa nipo njia panda, kuna nguvu kubwa ya uvutano kati ya nafsi yangu na matamanio ya muda ambayo yamesababishwa na demu fulani ambaye ameingia ndani ya 18 zangu na anastahili kutafunwa muda wowote kuanzia sasa.
Nimejiuliza maswali kadhaa bila kupata majibu ya kuridhisha huku nguvu ya uvutano ikiendelea kupamba moto.
Naombeni ushauri wakuu.