Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,266
Habari! I has stayed with my wife more than 10 year but now she changed a lot. Unajua nimekaa kajiuliza na kumchunguza nimegundua ana uhusiano na mwanaume mwingine. Hivyo amekuwa kiburi jeuri hana heshima. Kuna siku nilisafiri nje ya nchi for 2wks hizo wk nilijua yupo danger zone siku 7 ndani yake. Nakarudi nikamwambia tupime pregnancy amekataa maana anajua ujinga aliofanya hivyo alitaka kunibambikizia uzuri nilijua before. Je mwanamke kama huyo akiachwa atasema wanaume Wabaya? Tatizo la wanawake akipenda sehemu anajitoa mazima moyo wote! Hivyo nyumbani heshima inapotea, sisi wanaume hata kama tunachepuka nyumbani heshima kubwa. Leo mtu anapingwa chini maisha yasonge. Life's too short let us enjoy.