Haya mabinti ujumbe wenu huo, mapovu staki

Haya mabinti ujumbe wenu huo, mapovu staki

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,172
Zawadi ya thamani zaidi anayohitaji binti mstaarabu kutoka kwa mwanaume sio smartphone, gari, pesa au mali bali "NDOA". Ndoa ni ishara ya mapenzi ya dhati, Hiyo ndio zawadi imtoshelezayo moyo wake maana vitu hutafutwa bali utu hujengwa kwa amani ya moyo.

Binti unaesoma ujumbe huu usikubali mtu auchezee utu wako sababu ya vitu anavyokupa
 
ambao wangeelewa hyo kauli walishakufa na wengine bado hawajazaliwa
 
Wenyewe wana misemo yao keamba its better to cry on a mercedes than on a bicycle
 
mkuu demu hawatakuelewa kabisa wanadhamini pesa kuliko kila kitu kuna demu nilikuwa simpi ela mkononi ila kila kitu nilikuwa nanunua namwekea ndani ila alikuja badilika sana tendo akawa hanipi ila baadae nikaja gundua anaenda gingwa anapewa elfu 10-15 wakati mm namnunulia vitu vya kula mwezi mzima ambayo ni zaidi ya 80,000 na mm nikajiongeza nikawawa namwita geto nagonga nampa 10,000 Kwa mwezi akawa analamba kama 30,000 tu.
hapo ndo nikajua hawa watu hawana jema kabisa maana kipindi nanunua kila kitu alikuwa ananipa tendo Kwa mbinde sana sahivi mambo mubashara tu akija 10,000 yake tukiachana hapo hakuna cha baby sijala wala nn
 
Wewe bado uko zama za mawe.Dunia imebadilika ndugu.hizo ndoa wenzako wako kwenye ndoa za mikataba sasa hivi wewe bado umekalia mambo ya upendo wa dhati.Kinachopendwa kwa dhati siku hizi ni pesa.kwaiyo tafuta pesa upate unachokitaka,kua maskini umpendae uishie kumuita shemeji.
 
Sio kwa mabinti wa kizazi cha sasa. Mpe hela uone atakavyokunyenyekea, lakini usipompa inakula kwako
 
Hapa sijakuelewa mkuu! Maana huyu alinisaliti huyu mimi.
Mkuu ni hivi,mpenzi wako wa mwanzo kabisa toka unaanza mapenzi ndio mpenzi utakayempenda kwa dhati,na sio rahisi kumsahau,suala la yeye kukusaliti ni kitu cha kawaida mkuu,ndio maisha yalivyo,binadamu hatufanani.
 
wenyewe wanavyo penda hela sijui watakubali
 
Back
Top Bottom